Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 173
Jamani ushauri wenu unahitajika hapa plse, nina marafiki zangu wa kichaga, mmoja mchaga wa kibosho, mmoja wa marangu, wote ni warembo na nimekuwa nao bila wao kujijua, sasa very soon nataka nifanye maamuzi magumu ya kumpiga mmoja chini nibaki na mmoja tuu, mi c mwenyeji wa huko kwao moshi, nachoomba hapa ni tabia za kila sehemu watukapo, yani marangu na kibosho wana tabia gani?? Kwa wale wenyeji wa moshi msaada wenu plse