Kati ya Marais watatu wastaafu wa Tanzania, nani ni Rais bora na kwanini?

Mwinyi Ndiye Rais Aliyeisaidia Tanzania Kutoka Kwenye Nchi ya Kukaa foleni Kununua Sabuni na Sukari, (Nchi ya Duka la Kaya) Kuwa Nchi ya Soko huria. Na pamoja na Kutukanwa sana Miaka ya 90 ilikuwa Ni miaka ya Neema sana Kwa watu Tanzani.
Mwinyi Ndiye aliyesimamia Kutoka nchi ya (Usikiki ukisema) Kuwa Nchi ya Demokrasia ambayo sasa Mh. Magu anapambana nayo.
Mwinyi alikuwa hana Makuu na alikuwa Ni Muungwana sana.
 
Nikiwapanga kwa Mchango wao, 1)Mwinyi 2) Kikwete 3)Nyerere 4) Mkapa
Nikiwapanga kwa Kuwa Systematic, Kuwa Strong Leader, na Ufalsafa basi Nitaweka List Namna hii
1) Nyerere 2) Mkapa 3) Kikwete 4) Mwinyi
 
WanaJF habari zenu! Mwl. Nyerere katawala nchi yetu kama miaka 23 hivi. Mtukufu Mwinyi, Mh. Mkapa na Mh. Kikwete wametawala miaka kumi kila mmoja. Ni rais gani kwako unamuona ni bora zaidi ya wengine? toa na sababu ktk hilo. tazama:
1. Ukuaji wa uchumi
2. Umoja wa Watz
3. Amani na usalama
4. Demokrasia
5. Haki na uhuru wa mahakama
6. uhuru wa kutoa maoni na kusikilizwa
7. upambanaji wa rushwa hasa kubwa
8. n.k
Kwa legacy, simuoni anayemkalibia nyerere, alkuwa the great, tz ya kipindi kile ambyo mambo mengi yalikuwa zidumu fikra za mwenyekiti wa chama, bas mkapa huyu au Kikwete huyu angekuwa tajiri wa kwanza duniani...

Nyerere atabaki kuwa the best ever, wengine wanabebwa na generation walizochukua uongoz fkiria JPM cabinet ina zaid ya watu 50 wenye doctarate degree Maprofesa..kibao, dr kibao, kitu ambacho kisngekuwa rahic kwa mwalimu...

Hivyo kwa kuangalia resources,availability funds, availability HRs, life cycle, democracy(equality & solidarity, freedom) kujali na kuheshm human dignity(juhudi za kuikomboa afrika, ubaguzi, udini, ukabila), utilization of natural resources...bado nyerere anabaki kuwa the best ever.. ingwa pia alkuwa na mapungufu mengi km ujamaa wa kutosha bila utafiti, kagera war, kutokubal kukosolewa(tatzo la binadam wengi esp Africans)

1. Nyerere
2. Mkapa
3.kikwete
4. Mwinyi
 
Huyo aliesaidia kupata uhuru hatakiwi awemo katika marais bora. Tanzania mpya ilianza wakati wa Mzee Mwinyi ile Tanzania ya kupata uhuru mpaka alipostaafu ilikuwa imekufa. Ikaanza mpya chini ya Mzee Rukhsa
1. Mwinyi
2. Mkapa
3. KJ
 
Back
Top Bottom