Tuwe wawazi na sio wanafiki. JF ni forums, Facebook ni social network na Twitter ni micro-blogging site. Ni sawa na kuwafananisha mcheza gofu, mcheza mpira wa miguu na mwanariadha yupi bora eti kisa wote ni wanamichezo!
Tunapoongelea uhuru, kwani fb na twitter kuna moderators kule wa kukufutia posts zako? JF ni nzuri coz inaruhusu watu hata wasio rafiki zako ku-interact na wewe na wewe na wao. Uzuri na ubaya wa fb na twitter unategemea na aina ya marafiki na followers.