Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 411
Kwa taarifa za habari ITV hutangaza wastani wa habari za kitaifa 9, wakati TBC hutangaza wastani wa habari za kitaifa 4. Je nitakuwa sahihi nikiita ITV kama TV ya taifa , na TBC kama tbccm? au nitakosea....