Mkuu niko Iringa mjini hapa.Iringa nilishawahi tembelea ukweli ni kwamba kamji kamejibana sana barabara hazieleweki kama hii ni ya kutokea au kuingia hakuna mpangilio mzuri kama umeshawahi kupita iringa utanielewa, hakuna mkoa uliojengeja vizuri kama moshi...kuanzia vijijini mpaka mjini,nyumba za hadhi kubwa,wachaga wamejenga nyumba za heshima makwao tena vijijini
Kama upo iringa so what mkuu.Mkuu niko Iringa mjini hapa.
Sidhani kama unajua unachoandika!Moshi umepitwa na miji yote ya mikoa Tanzania sasa linganisha Moshi na Kahama, Makambako, Chalinze, Karatu, Mwanga, Same vile.
Moshi inakuwa Jiji soon mjue hilo hivyo msilinganishe Mji wa moshi na vitu kama iringa au dodoma!Moshi pa kawaida.. Panashindwa na kigoma..