Kati ya Iringa Mjini na Moshi Mjini, mji gani unakua zaidi?

IMG_0104.JPG
IMG_0829.JPG
 
Nipo Iringa mjini, naona huu mji unakuwa kwa kasi, mara ya mwisho nilikuja hapa 2016, kwa miaka 3 tu!! Naona mabadiliko sana.

Miji ya kusini inaendelea sana.
Kwa Wadau wazoefu.
Ukilinganisha huu mji wa Iringa na Mji wa Moshi, wapi panakua zaidi? Katika nyanja za majengo mazuri na barabara nzuri!!

Picha za Iringa zitafuata....

Me naona chato pazuri kuliko Moshi na Iringa
 
Upo iringa sawa mkuu, je umeshawahi kutembelea moshi? Tukiacha ushabiki moshi mji wa sasa sio kama ule wa zamani,mara ya mwisho kupita moshi ilikua lini mkuu, mimi nipo Arusha nijirani mkoa huo, na pia nimeshautembelea iringa mara nyingi sana, nimeenda na mbeya labda ufananishe iringa na mbeya
mkuu leta evidence sio maneno tu, Iringa imeiacha mbali sana Moshi
 
mkuu leta evidence sio maneno tu, Iringa imeiacha mbali sana Moshi
Mbona wewe huleti ushahidi kwahiyo unaniiga ama....lete vitu ambavyo iringa inaishinda moshi....moshi majumba yaliyojengwa vijijini ni majumba ya kifahari,wachaga wanakupenda kwao, hivi iringa kweli ni ya kuifananisha na moshi
 
Back
Top Bottom