Kati ya Iringa Mjini na Moshi Mjini, mji gani unakua zaidi?

Tembosa

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
3,938
3,204
Nipo Iringa Mjini, naona huu mji unakuwa kwa kasi, mara ya mwisho nilikuja hapa 2016, kwa miaka 3 tu!! Naona mabadiliko sana.

Miji ya kusini inaendelea sana.
Kwa wadau wazoefu.
Ukilinganisha huu mji wa Iringa na mji wa Moshi, wapi panakua zaidi? Katika nyanja za majengo mazuri na barabara nzuri!!

Picha za Iringa zitafuata.
 
Iringa nilishawahi tembelea ukweli ni kwamba kamji kamejibana sana barabara hazieleweki kama hii ni ya kutokea au kuingia hakuna mpangilio mzuri kama umeshawahi kupita iringa utanielewa, hakuna mkoa uliojengeja vizuri kama moshi...kuanzia vijijini mpaka mjini,nyumba za hadhi kubwa,wachaga wamejenga nyumba za heshima makwao tena vijijini
 
Mkuu niko Iringa mjini hapa.
 
Mji wa Iringa

images%20(9).jpeg
images%20(8).jpeg
IRINGA..JPG
IMG_20190912_112408.jpeg
images%20(5).jpeg
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom