Kati ya huawei y530 na Tecno h6 ipi bora?!

Kati ya huawei y530 na Tecno h6 ipi bora?!

yaliyomoyamo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
603
Reaction score
452
Nimetafuta huawei y550 nimekosa! Sasa naomba kujuzwa kati ya huawei y530 na tecno h6 ipi ni nzuri zaidi niinunue..???!!!
 
kwa hapo better h6, ila still tafuta moto e, y550 ni better choice kwa budget hio
 
Asante #chief lakin moto e haina front camera ndo inani-bore, na bettry is non-removable?! vipi hapo mkuu?!
 
Y530 zinasunbua sana mie ninayo hapa hata miez miwili haijatimia naona tu inazingua.
 
Nimetafuta huawei y550 nimekosa! Sasa naomba kujuzwa kati ya huawei y530 na tecno h6 ipi ni nzuri zaidi niinunue..???!!!

nunua h6....ina camera nzur both of them .....inakaa na chaji sana....inafast internet ,ni potable alaf hata graphics zake ni nzuri.....alaf internal yake pia ni nzuri kwa bugdet hiyo
 
Asante #chief lakin moto e haina front camera ndo inani-bore, na bettry is non-removable?! vipi hapo mkuu?!

kuna moto E tatu kaka

-moto e ya kwanza ya zamani
-moto e ya 2015 yenye snapdragon 200
-moto e ya 2015 yenye snapdragon 401

hio yenye snapdragon 401 ndio nzuri zaidi na huawei y550 pia ina snapdragon 401.

kwanini hii moto e ya 2015 ndio best budget smartphone kwa sasa
- ina 4g lte hivyo utaenjoy tigo na smart 4g hapa tz
-snapdragon 401 ipo fast kuliko hata phantom z na almost mediatek chip zote kwenye single thread (kasoro helio 10), na gpu yake ni adreno 306 nayo sio mbaya
-inakaa sana na chrage, hii ni score yake gsmarena
gsmarena_002.jpg

hivyo una uhakika atleast masaa 6 ya kipower user
-camera yake ya 5mp ni nzuri kuliko 5mp nyingi. icheki hapa
Motorola Moto E (2nd Gen) review: E for Evolved - page 7 - GSMArena.com
-front camera ipo kwenye moto e mpya, ya zamani ilikuwa haina
-pia internal memory ni 8gb atleast utaweza eka vitu vingi compare na 4gb.
-motorola android yake ni kama stock android haukuti built in apps nyingi hivyo simu zao zinakuwa fast compare na oem kama samsung au tecno ambao wanakujazia appsd kibao zisizofutika hadi uroot simu.

kuhusu removable battery hii moto e haitoki lakini haimaanishi haibadilishiki unaweza ibadilisha sema hadi ufungue simu
moto-e-battery.jpg

ukichunguza hio picha utaona battery inaonekana lakini huwezi itoa hadi utoe cover zima la nyuma la simu sababu imezibwa
 
moto e sh ngapi?

dola 99 kwa sd200
dola 120 kwa sd401

ongeza kodi na faida then inakuja kama 250,000 hadi 300,000 huku kwetu. ila kwa wale wazee wa ku unlock unaweza ipata rahisi zaidi sababu kuna maeneo zinauzwa dola 50 tu.
 
Nimetafuta huawei y550 nimekosa! Sasa naomba kujuzwa kati ya huawei y530 na tecno h6 ipi ni nzuri zaidi niinunue..???!!!

Sio swala la kujaribu chukua h6 huawei y530 is the worst ever made by huawei, kama bajeti iko poa zaidi chukua tecno Boom j7
 
Shukran sana wakuu, nimepata mwanga! Kwa budget yangu ya 250,000 naimani nitafanya maamuzi sahihi,,,
 
Chief-Mkwawa hivi moto g bei yake inaendaje na unaizungumziaje maana mi katika pita pita zangu niliikuta kariakoo nikaulizia bei naambiwa laki 2. Je, ndo bei yake au?
 
Last edited by a moderator:
Shukran sana wakuu, nimepata mwanga! Kwa budget yangu ya 250,000 naimani nitafanya maamuzi sahihi,,,

Mi sikushauri ununue tecno ya aina yoyote ,utakuja unalia humu ndan na hyo tecno....tafuta brand znazoeleweka.
 
dola 99 kwa sd200
dola 120 kwa sd401

ongeza kodi na faida then inakuja kama 250,000 hadi 300,000 huku kwetu. ila kwa wale wazee wa ku unlock unaweza ipata rahisi zaidi sababu kuna maeneo zinauzwa dola 50 tu.
Kaka, nimeamua kuanza kutumia windows phone, na nimepanga kuchukua Lumia 520. Na in most reviews nilizoziona ina performance nzuri sana. Je, ni duka gani kwa Dar ninaweza kupata kwa bei nafuu zaidi??
 
Kariakoo duka gani kaka??

Mt.uhuru kama sikosei kuna duka pale mhudumu wake ni mwanaume anazijua sana simu yaani ukimuuliza anakupa maelezo ya kutosha mara nyingi huwa nakuta wateja wamejaa pale. Tofauti na hawa wengine anakutajia bei kisha anakubembeleza. Wakati mwenzao anatoa mpaka ushauri kwa wateja wake
 
Shukrani sana mkuu.
 
Kuwa makini sana na huo mtaa una vitu fake na simu za t-mobile nyingi.

Kwa laki 2 Moto g usifkirie Mara ya pili nunua. Ila make sure
1. Ni original kwa kutumia CPU z
2. Inakubali 3g

Pia kuna Moto g ya zamani yenye 8gb bila memory card, Ni nzuri pia ila nakwambia tu uwe aware.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom