Kati ya hawa yupi ana unafuu?

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,829
15,791
Giggy Money na Faiza (mke wa zamani wa Sugu) wote tunajua kwamba madishi yao yamecheza, wana uwezo wa kufanya chochote kitachokufanya ubaki mdomo wazi kwa nia tu ya kupata umaarufu, je yupi kati ya hao ana unafuu? Mi naona ngoma droo
 
Back
Top Bottom