kati ya hawa wawili

kati ya hawa wawili

kishae

Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
94
Reaction score
37
mmoja akiwa raisi mwingine waziri mkuu nchi itanyooka

attachment.php
 

Attachments

  • 1433188821477.jpg
    1433188821477.jpg
    42.4 KB · Views: 1,241
Mmoja gamba, mwingine ni anti gamba anti-mafisadi!
 
sina uhakika kama nyerere aliacha kiongozi yeyote katika familia yake. unaweza ukapata akili ukanyimwa watoto wanaofanana na wewe. riz anaweza kuwa kwenye position bora baadaye kuliko watoto wa marais waliopita kwasababu unamwona kabisa yuko focused na babake anamusapoti na kumpika kwenye siasa. nyerere alitakiwa kuwapika watoto wake hawa kama kenyatta. ila kwa alichokiacha, dah, sidhani kama ni rais material.
 
Back
Top Bottom