Kati ya hawa wawili nimuoe nani?

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,043
35,934
Nilikuwa na mahusiano na mwanamke toka nchi moja barani ulaya tiliishi kwa muaka mitano,tukajaaliwa waroto wawili,mkataba ulipoisha akarudi kwao na watoto wangu nikabaki na boksa yangu tu.

Sasa nataka kuoa tena katika umri wangu huu wa miaka arobaini ila sijui nimuoe nani kati ya hawa.

1 Sara
Huyu ni binti mrembo mbichi kabisa miaka 22 ,kifaa hasa mtoto hana makuu kama ni gari imeembea km chache sana yuko tayari nimuo hata kesho ila tofauti ya umri inaniogopesha miaka 22 kwa 40

2 Sarafina
Huyu ni mdada nilisoma nae darasa moja O level aliokewa mara baada ya kumaliza form four ,ana watoto wawili,binti yake wa kwanza yupo chuo kikuu,analingana na huyo sara.

Sasa huyu single mother anazeeka na utamu wake,kiumri tunalingana na ni mrembo hasa,kipindi tunasoma alikuwa mzuri kuliko wasichana wote shule nzima,mumewe alipata ajali akafa,dada ni mpambanaji sana ana akili za maisha japo darasani alikuwa anashika mkia. Ananipenda sana na tunalingana umri anataka nimuoe fasta.

NB wote nimewaonja nii watamu balaa na kazi wanaiweza.na wote ni kabila moja.
Ushauri wenu wakuu nimuoe nani
Wote nawapenda

Dini yetu hairuhusu wake wengi
 
usioe any, hujui commitment ndio maana una mahusiano na wote wawili, ndoa ni commitment...wewe endeleza kupiga, ndicho unachoweza
 
Ukimuoa Sarah ufanye sana mazoezi na upungunguze kula vyakula vya wanga ikiwemo unywaji wa bia. Mtoto wa miaka 22 round moja haimtoshi na kuna uwezekano vijana wakakupa ushirikiano.
Sina kitambi nafanya sana mazoezi muonekano wangu mpaka leo Sarah hajui umri wangu anadai nitakuwa na miaka 32 mi naitikia tu.moto huwa nampelekea mpaka anaomba poh round bado ni zile zile tatu au mbili.....labda miaka kumi ijayo ndio naweza kupoteza kasi niliyonayo
 
usioe any, hujui commitment ndio maana una mahusiano na wote wawili, ndoa ni commitment...wewe endeleza kupiga pumbu, ndicho unachoweza
Dah kuhusu commitment unisamehe sana sikuwa responsible kwako maana uwezo wangu kipindi niko na wewe ulikuwa mdogo,sasa niko vizuri kiuchimi kuhudumia mke
 
Dah kuhusu commitment unisamehe sana sikuwa responsible kwako maana uwezo wangu kipindi niko na wewe ulikuwa mdogo,sasa niko vizuri kiuchimi kuhudumia mke

umenichekesha ujue....sasa mimi naingiaje hapo? au na mimi ni mchepuko mtarajiwa? 😁😁😁😁😁😁😁
 
Mi naomba namba ya binti wake Sarafina ambae yuko chuo, nina uhakika atakua ni mrembo kama mama yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom