Kati ya hawa Watatu, Nani unampenda?

Hapa naona ban inawanyemelea, mi nasepa mapema!!
 
Mhhhhhhhhhhhhh! Mi nadhani ungeuliza nani ana unafuu, ungeweza kupata majibu mazuri. Hilo nani unampenda ngumu kweli kweli hapo maana wote ni micharuko ya nguvuuuuuuuuuu! Opsssssssss! Mkuu hakuna jibu hapo khaaaa!
 
Hivi kwanini Kikwete amepewa namba 2?
 
1+2-3=0 nadhani naempenda ni 0 kataka hao naomba uniulize nani mwenye swagger kali na tata zaidi kuliko wenzake ntakwambia
 
Mnatafutia watu maafa tu hapa! Maswali gani tena hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…