Nimechagua kozi, say fifth choice, lakini nina div 1. Mwingine akachagua kozi hiyo hiyo ikiwa ya kwanza (first choice) ana div. 2. Kati ya hawa nani atapewa kipaumbele.
My thinking ni kuwa kama nyote mmechagua kozi moja mkaipa first choice, wataangalia aliye na ufaulu mkubwa. Kuna vitu hapa vinachanganya
wanaangalia point za masomo husika na sio division , mwenye two anaeza chaguliwa maana utakuta chem,bios na phys ka perform vizuri na wewe mwenye one ila umepasua sana histor,kiswahi na geog utatemwa tu, katika afya
kama unazungumzia kozi za chuo.. wewe wa div 1 imekula kwako sababu katika first choice yako kama slots zipo unachukuliwa na pia yule wa div 2 yeye ana shavu sana kama cutting of point kafikisha na slots zimekubali basi anakunywa sayona tu!