Sun Wukong JF-Expert Member Joined Jul 30, 2022 Posts 1,152 Reaction score 2,300 Jul 30, 2023 #61 Huyu dada sometimes mnara 5G sometimes 1G haeleweki
Director Kenny JF-Expert Member Joined Jan 11, 2020 Posts 347 Reaction score 849 Jul 30, 2023 #62 bestchoicetz said: We unaonyesh kabisa ni mdangaji Pro max ........ Click to expand... Yawezakuwa kweli .... Ila sina hakika kwamba kuna mdangaji mwenye utimamu wakutumia nakuanzisha thread JF
bestchoicetz said: We unaonyesh kabisa ni mdangaji Pro max ........ Click to expand... Yawezakuwa kweli .... Ila sina hakika kwamba kuna mdangaji mwenye utimamu wakutumia nakuanzisha thread JF
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,417 Reaction score 5,273 Jul 30, 2023 #63 We mudada kiboko umetawanya Hadi Kwa muchina?
M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 5,955 Reaction score 4,821 Jul 30, 2023 #64 Unique Flower said: Kuolewa na hawa wafuatao, A. Muarabu B.Mzungu C.Mchina D. Mkongo E. Muhindi F. Mkenya G. Mmalawi H. Uganda Kwa uzoefu wenu yupo ni tiki?? Atakuwa mvumilivu, muelewa , anajali, anatunza , anatambua familia yake . Click to expand... Kwani wote hao wamekutongoza uchumba? Au wewe ndio umepanga kumtokea mmojawapo ukishapata ushauri
Unique Flower said: Kuolewa na hawa wafuatao, A. Muarabu B.Mzungu C.Mchina D. Mkongo E. Muhindi F. Mkenya G. Mmalawi H. Uganda Kwa uzoefu wenu yupo ni tiki?? Atakuwa mvumilivu, muelewa , anajali, anatunza , anatambua familia yake . Click to expand... Kwani wote hao wamekutongoza uchumba? Au wewe ndio umepanga kumtokea mmojawapo ukishapata ushauri
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,806 Jul 31, 2023 #65 Ushimen said: Angalia mwenye upendo, kwasababu hakuna mwanaume alie ambiwa akamfae mwanamke. Kazi ya mwanaume ni kumpenda mwanamke wake, na kazi ya mwanamke ni kumtii mwanaume wake. End of the story....😊 Click to expand... well said mkuu
Ushimen said: Angalia mwenye upendo, kwasababu hakuna mwanaume alie ambiwa akamfae mwanamke. Kazi ya mwanaume ni kumpenda mwanamke wake, na kazi ya mwanamke ni kumtii mwanaume wake. End of the story....😊 Click to expand... well said mkuu
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,782 Reaction score 11,020 Jul 31, 2023 #66 Mpaji Mungu said: Kuna muhuni aliuza file lake kasema huyu sio xx ni xy Click to expand... Kwamba kuzama topeni ruksa !!!!...
Mpaji Mungu said: Kuna muhuni aliuza file lake kasema huyu sio xx ni xy Click to expand... Kwamba kuzama topeni ruksa !!!!...
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Jul 31, 2023 Thread starter #67 Mcharo son said: Kwani wote hao wamekutongoza uchumba? Au wewe ndio umepanga kumtokea mmojawapo ukishapata ushauri Click to expand... Kuna haw watatu ndio nimewapata ila hao wengine nimeongeza ili nione wazo lenu nani atashinda kindaki ndaki ila kwa ushauri mzuri niliupata jana
Mcharo son said: Kwani wote hao wamekutongoza uchumba? Au wewe ndio umepanga kumtokea mmojawapo ukishapata ushauri Click to expand... Kuna haw watatu ndio nimewapata ila hao wengine nimeongeza ili nione wazo lenu nani atashinda kindaki ndaki ila kwa ushauri mzuri niliupata jana
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 Jul 31, 2023 #68 Unique Flower said: Kuna haw watatu ndio nimewapata ila hao wengine nimeongeza ili nione wazo lenu nani atashinda kindaki ndaki ila kwa ushauri mzuri niliupata jana Click to expand... Katika wote hao; ..nani mtamu kuliko wote? ..nani anakuhonga kuliko wote? ..nani anakupenda kuliko wote?
Unique Flower said: Kuna haw watatu ndio nimewapata ila hao wengine nimeongeza ili nione wazo lenu nani atashinda kindaki ndaki ila kwa ushauri mzuri niliupata jana Click to expand... Katika wote hao; ..nani mtamu kuliko wote? ..nani anakuhonga kuliko wote? ..nani anakupenda kuliko wote?
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Jul 31, 2023 Thread starter #69 ERoni said: Katika wote hao; ..nani mtamu kuliko wote? ..nani anakuhonga kuliko wote? ..nani anakupenda kuliko wote? Click to expand... Swali wewe umekula chumvi nyingi wanawake hukubali kuolewa na wanaume zao wamependa nini??
ERoni said: Katika wote hao; ..nani mtamu kuliko wote? ..nani anakuhonga kuliko wote? ..nani anakupenda kuliko wote? Click to expand... Swali wewe umekula chumvi nyingi wanawake hukubali kuolewa na wanaume zao wamependa nini??
mangiTz JF-Expert Member Joined Jul 28, 2019 Posts 2,104 Reaction score 3,447 Jul 31, 2023 #70 Maada inauliza kuolewa sa wanaume si tutulie jamani sasa mnajibu tena mtu anasema kabisa eti mzungu ndio kaishia hapo sisi wasomaji tueleweje 😅
Maada inauliza kuolewa sa wanaume si tutulie jamani sasa mnajibu tena mtu anasema kabisa eti mzungu ndio kaishia hapo sisi wasomaji tueleweje 😅
jjs2017 JF-Expert Member Joined May 25, 2019 Posts 2,027 Reaction score 4,308 Jul 31, 2023 #71 Mwanaume anayefaa ni yule anayeweza kupamp nyapu mpaka itoe moshi na tumbo la mwanamke livimbe na akubali kuwajibika kwa matunda ya kazi yake basi
Mwanaume anayefaa ni yule anayeweza kupamp nyapu mpaka itoe moshi na tumbo la mwanamke livimbe na akubali kuwajibika kwa matunda ya kazi yake basi
M Mcharo son JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 5,955 Reaction score 4,821 Jul 31, 2023 #72 Unique Flower said: Kuna haw watatu ndio nimewapata ila hao wengine nimeongeza ili nione wazo lenu nani atashinda kindaki ndaki ila kwa ushauri mzuri niliupata jana Click to expand... Upi huo?
Unique Flower said: Kuna haw watatu ndio nimewapata ila hao wengine nimeongeza ili nione wazo lenu nani atashinda kindaki ndaki ila kwa ushauri mzuri niliupata jana Click to expand... Upi huo?
suzie _barbie JF-Expert Member Joined May 2, 2017 Posts 1,523 Reaction score 3,091 Jul 31, 2023 #73 Atacms said: Hakuna mtz ?? ila mdada unaonekana uko desparate sana kiasi kwamba unaishi kwa imagination et bwana mchina khaaa!!!!... Click to expand...
Atacms said: Hakuna mtz ?? ila mdada unaonekana uko desparate sana kiasi kwamba unaishi kwa imagination et bwana mchina khaaa!!!!... Click to expand...