Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 609
- 1,007
Pixel iko vizur kwa Camera na software yake iko unbelievable kwenye processing of images na functionality nyingine zaid ukilinganisha Samsung wana hardware nzuri.shukran sn kaka
Kwa hio unataka kunambia google pixel yenye level ya gb 128 yaweza kuwa kali kuliko samsung?..
shukrans sn kaka,ahsante snPixel iko vizur kwa Camera na software yake iko unbelievable kwenye processing of images na functionality nyingine zaid ukilinganisha Samsung wana hardware nzur...software well not so much, though zote ni android inategemea unalinganisha Na Samsung ipi well kama Note au S series chukua flagship ya Samsung over pixel
Google Ana software nyepesi isio na mambo mengi, ila one ui kwenye samsung ni feature rich, overall software ya Samsung ni nzuri zaidi.Pixel iko vizur kwa Camera na software yake iko unbelievable kwenye processing of images na functionality nyingine zaid ukilinganisha Samsung wana hardware nzur...software well not so much, though zote ni android inategemea unalinganisha Na Samsung ipi well kama Note au S series chukua flagship ya Samsung over pixel
shukran sn chiefGoogle Ana software nyepesi isio na mambo mengi, ila one ui kwenye samsung ni feature rich, overall software ya Samsung ni nzuri zaidi.
shukran sn nitazingatia ushaur wako,ahsante snMkuu kama wadau wengine walivyochangia huwezi linganisha tu brand kwa hivi, zipo Samsung Nyingi nzuri na mbaya vile vile zipo pixel nyingi nzuri na mbaya, vyema upate specific model.
Na simu nyingi za pixel ni upper midrange ama high end, hawana low end na midrange za kawaida, pia bei zao zimesimama.
Google Ana software nyepesi isio na mambo mengi, ila one ui kwenye samsung ni feature rich, overall software ya Samsung ni nzuri zaidi.
Hio ni personal preference yako ila kampuni karibia zote kubwa zime abandon stock, wapo wanaopenda sikatai ila kuiita best hapana, nitakupa mfano.Haiko feature rich iko JUNK ndg yang, unapata both Samsung store na google playstore za nn hizo plus kunakuwa na installed crazy apps
Iko well known kwamba pixel software is better than any android out there
shukran sn kaka,ahsante snHio ni personal preference yako ila kampuni karibia zote kubwa zime abandon stock, wapo wanaopenda sikatai ila kuiita best hapana, nitakupa mfano.
1. Samsung flagship zao walikuwa wanakupa option ya touchwiz yaani skin yao ama stock (walikuwa wanaita play version) baadae samsung ameikacha stock. hapa side to side s4 ya touchwiz na s4 yenye stock enzi zake
2.Xiaomi alikuwa simu zake anazouza ulaya zinakuja na stock android, ziliita MI Ax, kama Mi A2, A3 etc rebrabded note series zenye stock, ila siku hizi na yeye ameikacha stock,
3. motorola alikua na one series na yeye ameikacha etc
aliebakia sasa hivi na stock android ni HMD global na Nokia zake tu.
na samsung One ui ni superior sio kwa stock tu bali pengine ui zote linapokuja suala la features., mfano
-hio store unayosema ni junk ina exclusive apps ambazo huzipati popote zaidi ya Samsung mfano clip studio paint, kwa ajili ya artist moja ya program nzuri zaidi kwa wachoraji
program nyingi za kuedit picha/kuchora za android ni basic unapata wapi app kali kama hii?
-samsung pia wana feature zao wenyewe kama secure folder ambayo ni simu ndani ya simu, etc
pia kuthibitisha zaidi for years kuna mamia ya features samsung anaanzisha then Google wanacopy kwenye android vitu kama split multitasking, always on screen, ku hide apps, home screen customization etc.
Chief samahani naongezea swali jipya,nina budget ya kununua kati ya Samsung s10+,xiaomi mi note 10 au oppo reno 5.Nimeshindwa kung'amua kati ya hizo ipi inaweza kuwa feautures nzuri generally kupita zingine?.au kama kuna nyingine nje ya hizo nzuri kwa budget hyo.Google Ana software nyepesi isio na mambo mengi, ila one ui kwenye samsung ni feature rich, overall software ya Samsung ni nzuri zaidi.
Kati ya hizi 3 by far s10+ ni simu nzuri zaidi. Budget around ngapi?Chief samahani naongezea swali jipya,nina budget ya kununua kati ya Samsung s10+,xiaomi mi note 10 au oppo reno 5.Nimeshindwa kung'amua kati ya hizo ipi inaweza kuwa feautures nzuri generally kupita zingine?.au kama kuna nyingine nje ya hizo nzuri kwa budget hyo.
Natanguliza shukrani Chief-Mkwawa
Mil 1.2 chief,shukrani kwa ushauriKati ya hizi 3 by far s10+ ni simu nzuri zaidi. Budget around ngapi?
Kwa 1.2m tafuta flagship za karibuni mkuu,Mil 1.2 chief,shukrani kwa ushauri