Kati ya Forestry na Banking and Finance asome nini?

Kati ya Forestry na Banking and Finance asome nini?

Lugovoy

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
595
Reaction score
195
Habari ya majukumu members;

Tafadhalini saana, naomba ushauri wenu ili niweze kumsaidia mdogo wangu kufanya uamuzi wa busara.

Mdogo wangu jinsia KE amebahatika kupata admission ya kozi mbili;

1: Bachelor in Finance and Banking, hapa amepata mkopo wa bodi kwa 30% ya tuition fee + meals and accommodation.

2: Diploma in Forest Management and Nature Conservation. Hapa hakuna mkopo ila inaweza kuwa accommodated kwa kujichanga.

Naombeni ushauri kwa huyu mdogo wetu asome nini, kwa kuzingatia soko la ajira baada ya masomo.

Natanguliza shukrani.
 
Kama vipi apige hiyo ya juu huku akijinoa kwenye algorithm trading softwares sioni wapi atakapokosa kipato ukizingatia masponsor watakuwa wanamsupport.
 
Back
Top Bottom