Kati ya BABA au MAMA yupi ni mzazi halali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya BABA au MAMA yupi ni mzazi halali?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kokudo, Feb 10, 2011.

 1. kokudo

  kokudo JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 901
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kutokana na utata unaojtokeza kwenye familia nyingi kiac cha kuleta kutoelewana juu ya watoto.hisia mbaya huwakumba hasa wanaume wakidhani watoto wale c wao.je nani mhusika mkuu wa swala hili?Wengi wamelea watoto wakidhani ni damu yao kumbe cha kike.
  NB:KITANDA HAKIZAI HARAMU
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mama
   
 3. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mbona title ya hii ni tofauti na content yake? Lakini definitely ni mama na ndiyo maana makabila mengine mjomba huwa na nguvu kuliko baba.

  Mama hawezi kudanganya na akizaa ataonekana tu lakini baba mmmmmmhhhhhh!
   
 4. s

  shosti JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mama
   
 5. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kwa teknolojia ya sasa where DNA thing rules - wote ni wazazi, unless u can't afford the DNA related costs.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Una miaka mingapi wewe?
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,396
  Trophy Points: 280
  mama ndio anajua siri zote
   
 8. the kapex

  the kapex Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli unabaki palepale kuwa mzazi wa ukweli ni mama kwani ndie hasa tunaemwona na mimba kisha mtoto lakini baba anaweza kusingiziwa ili mradi mimba ilitungwa wakati mama akiwa katika ndoa
  Teacher Kapex
   
 9. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  wote ni wazazi
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Maswali mengine ni kudhalilisha wazazi wetu. Wote ni wazazi kamili nukta..:sick::sick:
   
 11. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Nilishawahi uliza hapa lakini sikupata msaada, je wale wanotokana na "sperm donnors" nao kwenye vyeti vyao huandikwa wale baba waliouza mbegu husika. Hili jambo kwangu ni tata vile vile, please help kwa anaejua. Kwa hapa mama haina tatizo, baba je?
   
 12. LD

  LD JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Daaa wote ni wazazi bwana, so long as umezaliwa ukawakuta na wamekulea wacha wote wastahili kuitwa wazazi.
   
 13. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mama! Ampendae mama yako ndie baba yako waswhili husema!
   
 14. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  wa ukweli mama, ndo maana hata ukijikwaa utaita mamaaaa!
  pia ukiwa na kitu kinakusibu utamwambia mama maana ndo ndugu yako na asili yako
   
 15. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wazazi means 'wawili' yani Baba na Mama.
   
 16. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Acha mambo zako ww!iz ndo story za kuku au yai nani katangulia.
   
 17. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mtoto akiambiwa shuleni kamlete mzazi wako atampeleka nani?
   
 18. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kutokana na baba kukabiliwa na majukum na kama mama ni mama wa nyumbani,bas mama ndo huenda shulen,ila ukikuta wote wanafanya kazi,mara mingi wafanyakaz wa ndani huchukua uhususika,au jirani hata rafk wa karbu na familia.
   
 19. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ukweli upo wazi kwamba mama ndie anayejua ukweli wa baba wa watoto. Kama mama yako hajatoa kauli ya kumkana baba yako basi huyo baba ndio baba yako halali. Kwa hiyo baba na mama ndio wazazi halali basi.
   
 20. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  naona mmekosa la kujadili au vp okay lakn mm cpo huku
   
Loading...