Katemwa TCU first Round, Tumshauri wadau

Ni Wazi Kuna Kitu Bado Hujakielewa!! Sharti Moja La Kuomba na Kupata Chuo Ni Kuchagua Kuanzia Programs 3 tofauti, Na Mwisho Ni 5.
Sasa Usialamu Kwa Hilo Kwani Huwezi Chaguoa Program Moja tu Mwanzo Mwisho Hapo itakuwa Automatically Umeshakosa Chuo Kwani Hukufuata Shart La Udahili. Ni Lazima Uanze na Programs TATU.
acha kupotosha wewe.

mimi nimejaza course moja mwanzo mwisho na nimepata.
 
nisaidien namna kuangalia selexn wakuu. kuna dogo nataka nimuangalizie ila cjui nianzie wapi. details zake kanipa.
 
Ni Wazi Kuna Kitu Bado Hujakielewa!! Sharti Moja La Kuomba na Kupata Chuo Ni Kuchagua Kuanzia Programs 3 tofauti, Na Mwisho Ni 5.
Sasa Usialamu Kwa Hilo Kwani Huwezi Chaguoa Program Moja tu Mwanzo Mwisho Hapo itakuwa Automatically Umeshakosa Chuo Kwani Hukufuata Shart La Udahili. Ni Lazima Uanze na Programs TATU.
Acha kupotosha watu masharti unayajua ww, kifungu gani wameandika kuwa ujaze koz tofauti tofauti. Kajaza kozi tofauti nako shida mfano chukulia umeomba education law human resources na political science kam usemavyo ww program tofauti. Let's say ukachaguliwa law alafu utaki unataka education itakusumbua sannaaaa utapata tabu loans board ndugu
 
Inaonesha Huo Ubishi Ndiyo Uliokufanya Ukamkosesha Chuo Mdogo Wako! Sasa Jiandae Na Diploma Sisi Tunakula Bata Chuo
 
hafanye direct entry chuoni au wameifuta mana matamko mengi......
 
Kaka mnapenda sana kutaja udom eeh!!hapo juu yeye ameweka udsm na makumira sio udom!!
Kwani nikipenda kuitaja UDOM nafanya kosa..!?
Sawa...
Napenda kukitaja kwasababu ni chuo ambacho nakipenda pia..!
Una kingine..?
 
Back
Top Bottom