Mliokosa 1st round nawashauri fanyeni haya

amos eglan

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
310
Reaction score
464
Habari zenu wanajukwaa napenda kuwashauri waliokosa vyuo first round wazingatie yafuatayo Kama wanataka kusoma.

1. Msinga'ng'anie course zenye compition kubwa zimeshacover na vipanga course kama MD , law, petrolium , Civil engineering NM

2. Wengi mmekosa first round kwa sababu mlikuwa na div 2 na mkubali tu kwamba wengi wenu wenye hili tatizo hamkupata division one maana wengi hawataki kukubali kama hii sababu

3. Usilazimishe kuchagua course kwenye vyuo pendwa vya serikali na kubeza vingine wakati vyote vinatoa elimu, Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba lazima mkubali kwa sasa mmepewa last chance tu ya nyinyi ili muweze kupata nafasi ya kusoma kwa kupewa second chance vyuo kama UDSM, Mzumbe ,SUA , UDOM, Ardhi ni ndoto za watu wengi hivyo mmelazika kuingia kwenye survival of the fitness wenye power kutokana na cutting point zao ndo wataviona.

Lakini niwaambie tu vyuo vyote vinatoa degree na degree ni degree msitishike kwamba degree ya chuo flani basi umeula

4. Msirudie tena makosa mliyoyafanya kwenye 1st round kwa mfano kuomba tena courses zile zile au kujaribu kuomba course ambazo Unajua kabisa ni za watabe nakwambia utaula wachuya mfano mtu Una kidivision two chako unajaribu kuomba MD nani atakupangia kwenye chuo chake? Na hizo D D D zako mdogo wangu muache kufanya majaribu ya kuomba courses huo ujinga tuliufanya zamani kwa TCU lakini siyo sasa maana vyuo ndo vinadahili

5. Jaribu kutupa karata zako vyuo vingine na pia vyuo tofauti hjui mungu alipokupangia usiforce ili Mradi Usome UDSM, MUHAS, Mzumbe vyuo vipo chungu mzima tatizo lenu madogo mnapenda sana kuonekana kwamba mimi nasoma wapi kijiji wajue umekuja mlimani mwisho wa siku unachagua course ya kiboya mwisho wa siku Majuto unachaguliwa UDSM course ya kuogelea

6.Msifikiri kwamba kubadili courses chuo ni kitu rahisi hivyo maaana watu mnasema tu nikifika chuo ntabadilisha yaani msifikiri mnabadilisha michepuo kutoka arts kwenda science chuo kubadili course ni ngumu maana taarifa zako znakuwa TCU mpk HESLB huko ni mchakato haswa kama UDSM ndo kabisaaa

6.Muache dharau ulizeni wakubwa zenu mabrother na masister jinsi ya kuchagua course na vyuo tatizo wengi mliokosa mlijaa viburi na kujua mkishaomba tu mtachaguliwa wakongwe tulikuwa tunawaona tu mnavyoruka ruka na vi div 2 vyenu vya mwisho mwisho ila sasa akili imewashika na mkiendelea kuleta ujuaji mtakosa vyuo na mtasubiri mpaka mwakani

Kwa ushauri kuhusu courses za UDSM uliza
 
Mkuu mimi nina 2ya12 hila nimejitosa tena udsm ila na vyuo vingine nimeomba
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Habari zenu wanajukwaa napenda kuwashauri waliokosa vyuo first round wazingatie yafuatayo Kama wanataka kusoma.
1. Msinga'n'ganie course zenye compition kubwa zimeshacover na vipanga course Kama MD , law, petrolium , Civil engineering NM

2. Wengi mmekosa first round kwa sababu mlikuwa na div 2 na mkubali tu kwamba wengi wenu wenye hili tatizo hamkupata division one maana wengi hawataki kukubali Kama hii Sababu

3. Usilazimishe kuchagua course kwenye vyuo pendwa vya serikali na kubeza vingine wakati vyote vinatoa elimu Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba lazima mkubali kwa sasa mmepewa last chance tu ya nyinyi ili muweze kupata nafasi ya kusoma kwa kupewa second chance vyuo kama udsm, mzumbe ,sua , udom , ardhi ni ndoto za watu wengi hivyo mmelazika kuingia kwenye survival of the fitness wenye power ktokana na cutting point zao ndo wataviona.
Lakini niwaambie tu vyuo vyote vinatoa degree na degree ni degree msitishike kwamba degree ya chuo flani basi umeula

4. Msirudie tena makosa mliyoyafanya kwenye 1st round kwa mfano kuomba tena courses zile zile au kujaribu kuomba course ambazo Unajua kabisa ni za watabe nakwambia utaula wachuya mfano mtu Una kidivision two chako unajaribu kuomba MD nani atakupangia kwenye chuo chake? Na hizo D D D zako mdogo wangu muache kufanya majaribu ya kuomba courses huo ujinga tuliufanya zamani kwa TCU lakini siyo sasa maana vyuo ndo vinadahili

5. Jaribu kutupa karata zako vyuo vingine na pia vyuo tofauti hjui mungu alipokupangia usiforce ili Mradi Usome Udsm, Muhas, Mzumbe vyuo vipo chungu mzima tatizo Len madogo mnapenda sana kuonekana kwamba mimi nasoma wapi kijiji wajue umekuja mlimani mwisho wa siku unachagua course ya kiboya mwisho wa siku Majuto unachaguliwa udsm course ya kuogelea

6.Msifikiri kwamba kubadili courses chuo ni kitu rahisi hivyo maaana watu mnasema tu nikifika chuo ntabadilisha yaani msifikiri mnabadilisha michepuo kutoka arts kwenda science chuo kubadili course ni ngumu maana taarifa zako znakuwa TCu mpk Heslb huko ni mchakato haswa Kama udsm ndo kabisaaa

6. Muache dharau ulizeni wakubwa zenu mabrother na masister jinsi ya kuchagua course na vyuo tatizo wengi mliokosa mlijaa viburi na kujua mkishaomba tu mtachaguliwa wakongwe tulikuwa tunawaona tu mnavyoruka ruka na vi div 2 vyenu vya mwisho mwisho ila sasa akili imewashika na mkiendelea kuleta ujuaji mtakosa vyuo na mtasubir mpk mwakani

Kwa ushauri kuhusu courses za udsm pm
ushauri wako mzuri lakini kautie katika dust bin.
 
baba ako alipata japo division 2? nae tumuiteje kama alopata division 2 unamwita kilaza? we ni mazwazwa peleka ushauri kijijini kwenu huko.
Heeehe yaani wewe unafikiri kupata division 2 ni kichwa ungekosa chuo vipanga wanasubiri admission vyuoni wee mpk sasa hujui ukimbilie wapi na nkwambia hautapata chuo ww
 
Nimesoma UDSM hivi kuna degree programme ya kuogelea au umeongeza chumvi.
 
Habari zenu wanajukwaa napenda kuwashauri waliokosa vyuo first round wazingatie yafuatayo Kama wanataka kusoma.
1. Msinga'n'ganie course zenye compition kubwa zimeshacover na vipanga course Kama MD , law, petrolium , Civil engineering NM

2. Wengi mmekosa first round kwa sababu mlikuwa na div 2 na mkubali tu kwamba wengi wenu wenye hili tatizo hamkupata division one maana wengi hawataki kukubali Kama hii Sababu

3. Usilazimishe kuchagua course kwenye vyuo pendwa vya serikali na kubeza vingine wakati vyote vinatoa elimu Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba lazima mkubali kwa sasa mmepewa last chance tu ya nyinyi ili muweze kupata nafasi ya kusoma kwa kupewa second chance vyuo kama udsm, mzumbe ,sua , udom , ardhi ni ndoto za watu wengi hivyo mmelazika kuingia kwenye survival of the fitness wenye power ktokana na cutting point zao ndo wataviona.
Lakini niwaambie tu vyuo vyote vinatoa degree na degree ni degree msitishike kwamba degree ya chuo flani basi umeula

4. Msirudie tena makosa mliyoyafanya kwenye 1st round kwa mfano kuomba tena courses zile zile au kujaribu kuomba course ambazo Unajua kabisa ni za watabe nakwambia utaula wachuya mfano mtu Una kidivision two chako unajaribu kuomba MD nani atakupangia kwenye chuo chake? Na hizo D D D zako mdogo wangu muache kufanya majaribu ya kuomba courses huo ujinga tuliufanya zamani kwa TCU lakini siyo sasa maana vyuo ndo vinadahili

5. Jaribu kutupa karata zako vyuo vingine na pia vyuo tofauti hjui mungu alipokupangia usiforce ili Mradi Usome Udsm, Muhas, Mzumbe vyuo vipo chungu mzima tatizo Len madogo mnapenda sana kuonekana kwamba mimi nasoma wapi kijiji wajue umekuja mlimani mwisho wa siku unachagua course ya kiboya mwisho wa siku Majuto unachaguliwa udsm course ya kuogelea

6.Msifikiri kwamba kubadili courses chuo ni kitu rahisi hivyo maaana watu mnasema tu nikifika chuo ntabadilisha yaani msifikiri mnabadilisha michepuo kutoka arts kwenda science chuo kubadili course ni ngumu maana taarifa zako znakuwa TCu mpk Heslb huko ni mchakato haswa Kama udsm ndo kabisaaa

6. Muache dharau ulizeni wakubwa zenu mabrother na masister jinsi ya kuchagua course na vyuo tatizo wengi mliokosa mlijaa viburi na kujua mkishaomba tu mtachaguliwa wakongwe tulikuwa tunawaona tu mnavyoruka ruka na vi div 2 vyenu vya mwisho mwisho ila sasa akili imewashika na mkiendelea kuleta ujuaji mtakosa vyuo na mtasubir mpk mwakani

Kwa ushauri kuhusu courses za udsm pm
Umeongea point. Hii lazima niwaonyoshe waliokosa. Tatizo moja tu, 'kidivision 2'. Unakuta mtu kahustle kweli. Hizo division 3 zitaitwaje sasa?[emoji3]

Ni sawa na majirani zangu, enzi nimenunua Passo na mimi niache kupanda daladala, wanakuambia Ghost anaendesha gari la nyongeza, mara promosheni, mara o kigari kama bajaji. Wakati wenyewe wanapiga ngoko.

Nikukumbushe tu the last person in medical school also graduates as a doctor.

Apart from all of that, umetoa point.

-callmeGhost
 
Tatizo madogo wakimaliza form six wanajiona ndio wanajua kila kitu, wasomi namba moja, hawataki ushauri. Wasomi wako mtaani na degree zao bwana, wasikilizeni hao mtafamnikiwa
 
dah sikuwah kujua kama mimi ni kilaza na ki II.10 PCM aisee aya bhna mkuu yote mpenzi ya Mungu hatujaumbwa tufanane ndio maana kuna wenye zero ,one na nyinginezo
hongera kwa wewe uliekazana ukapataga one
Mungu aturehem sisi tuliokazana na kuambulia II
 
Mtu ana div one ya nane pcb na amekosa, huyo naye ni kilaza??
 
Na aliyepata div 1 ya nne je? Ishue siyo kilaza ishue ni ushindani kuwa mkubwa kwenye huu mfumo Kama umenielewa mtu ukiwa na div 1 ya 5 ukaomba course ambayo imeombwa na wenzako wote wana 1 ya 3 lzma utatemwa tu
 
Mkuu utaratibu wa kupata admission letter UD unakuwaje
 
Habari zenu wanajukwaa napenda kuwashauri waliokosa vyuo first round wazingatie yafuatayo Kama wanataka kusoma.
1. Msinga'n'ganie course zenye compition kubwa zimeshacover na vipanga course Kama MD , law, petrolium , Civil engineering NM

2. Wengi mmekosa first round kwa sababu mlikuwa na div 2 na mkubali tu kwamba wengi wenu wenye hili tatizo hamkupata division one maana wengi hawataki kukubali Kama hii Sababu

3. Usilazimishe kuchagua course kwenye vyuo pendwa vya serikali na kubeza vingine wakati vyote vinatoa elimu Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba lazima mkubali kwa sasa mmepewa last chance tu ya nyinyi ili muweze kupata nafasi ya kusoma kwa kupewa second chance vyuo kama udsm, mzumbe ,sua , udom , ardhi ni ndoto za watu wengi hivyo mmelazika kuingia kwenye survival of the fitness wenye power ktokana na cutting point zao ndo wataviona.
Lakini niwaambie tu vyuo vyote vinatoa degree na degree ni degree msitishike kwamba degree ya chuo flani basi umeula

4. Msirudie tena makosa mliyoyafanya kwenye 1st round kwa mfano kuomba tena courses zile zile au kujaribu kuomba course ambazo Unajua kabisa ni za watabe nakwambia utaula wachuya mfano mtu Una kidivision two chako unajaribu kuomba MD nani atakupangia kwenye chuo chake? Na hizo D D D zako mdogo wangu muache kufanya majaribu ya kuomba courses huo ujinga tuliufanya zamani kwa TCU lakini siyo sasa maana vyuo ndo vinadahili

5. Jaribu kutupa karata zako vyuo vingine na pia vyuo tofauti hjui mungu alipokupangia usiforce ili Mradi Usome Udsm, Muhas, Mzumbe vyuo vipo chungu mzima tatizo Len madogo mnapenda sana kuonekana kwamba mimi nasoma wapi kijiji wajue umekuja mlimani mwisho wa siku unachagua course ya kiboya mwisho wa siku Majuto unachaguliwa udsm course ya kuogelea

6.Msifikiri kwamba kubadili courses chuo ni kitu rahisi hivyo maaana watu mnasema tu nikifika chuo ntabadilisha yaani msifikiri mnabadilisha michepuo kutoka arts kwenda science chuo kubadili course ni ngumu maana taarifa zako znakuwa TCu mpk Heslb huko ni mchakato haswa Kama udsm ndo kabisaaa

6. Muache dharau ulizeni wakubwa zenu mabrother na masister jinsi ya kuchagua course na vyuo tatizo wengi mliokosa mlijaa viburi na kujua mkishaomba tu mtachaguliwa wakongwe tulikuwa tunawaona tu mnavyoruka ruka na vi div 2 vyenu vya mwisho mwisho ila sasa akili imewashika na mkiendelea kuleta ujuaji mtakosa vyuo na mtasubir mpk mwakani

Kwa ushauri kuhusu courses za udsm pm

Habari zenu wanajukwaa napenda kuwashauri waliokosa vyuo first round wazingatie yafuatayo Kama wanataka kusoma.
1. Msinga'n'ganie course zenye compition kubwa zimeshacover na vipanga course Kama MD , law, petrolium , Civil engineering NM

2. Wengi mmekosa first round kwa sababu mlikuwa na div 2 na mkubali tu kwamba wengi wenu wenye hili tatizo hamkupata division one maana wengi hawataki kukubali Kama hii Sababu

3. Usilazimishe kuchagua course kwenye vyuo pendwa vya serikali na kubeza vingine wakati vyote vinatoa elimu Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba lazima mkubali kwa sasa mmepewa last chance tu ya nyinyi ili muweze kupata nafasi ya kusoma kwa kupewa second chance vyuo kama udsm, mzumbe ,sua , udom , ardhi ni ndoto za watu wengi hivyo mmelazika kuingia kwenye survival of the fitness wenye power ktokana na cutting point zao ndo wataviona.
Lakini niwaambie tu vyuo vyote vinatoa degree na degree ni degree msitishike kwamba degree ya chuo flani basi umeula

4. Msirudie tena makosa mliyoyafanya kwenye 1st round kwa mfano kuomba tena courses zile zile au kujaribu kuomba course ambazo Unajua kabisa ni za watabe nakwambia utaula wachuya mfano mtu Una kidivision two chako unajaribu kuomba MD nani atakupangia kwenye chuo chake? Na hizo D D D zako mdogo wangu muache kufanya majaribu ya kuomba courses huo ujinga tuliufanya zamani kwa TCU lakini siyo sasa maana vyuo ndo vinadahili

5. Jaribu kutupa karata zako vyuo vingine na pia vyuo tofauti hjui mungu alipokupangia usiforce ili Mradi Usome Udsm, Muhas, Mzumbe vyuo vipo chungu mzima tatizo Len madogo mnapenda sana kuonekana kwamba mimi nasoma wapi kijiji wajue umekuja mlimani mwisho wa siku unachagua course ya kiboya mwisho wa siku Majuto unachaguliwa udsm course ya kuogelea

6.Msifikiri kwamba kubadili courses chuo ni kitu rahisi hivyo maaana watu mnasema tu nikifika chuo ntabadilisha yaani msifikiri mnabadilisha michepuo kutoka arts kwenda science chuo kubadili course ni ngumu maana taarifa zako znakuwa TCu mpk Heslb huko ni mchakato haswa Kama udsm ndo kabisaaa

6. Muache dharau ulizeni wakubwa zenu mabrother na masister jinsi ya kuchagua course na vyuo tatizo wengi mliokosa mlijaa viburi na kujua mkishaomba tu mtachaguliwa wakongwe tulikuwa tunawaona tu mnavyoruka ruka na vi div 2 vyenu vya mwisho mwisho ila sasa akili imewashika na mkiendelea kuleta ujuaji mtakosa vyuo na mtasubir mpk mwakani

Kwa ushauri kuhusu courses za udsm pm
ushauri mzuri ila lugha uliyotumia sio nzuri
 
dah sikuwah kujua kama mimi ni kilaza na ki II.10 PCM aisee aya bhna mkuu yote mpenzi ya Mungu hatujaumbwa tufanane ndio maana kuna wenye zero ,one na nyinginezo
hongera kwa wewe uliekazana ukapataga one
Mungu aturehem sisi tuliokazana na kuambulia II
soma thread.vzr na uelewe
 
Back
Top Bottom