kimmswati
Member
- Sep 2, 2016
- 77
- 48
Ndugu zangu Kuna ndugu yangu kapata 2 aliomba First priority health system n management Mzumbe.
Second akaomba UDOM Law.
Third akaomba mzumbe Law
Fourth akaomba UDSM Law
Na tano akaomba UDSM Law enforcement
Na kupigwa Chini
Msaaada wa vyuo ambavyo anaweza ku-apply kusoma law
Na afanye nini ili asikose hii second round?
But in mind kapata vyuo viwili vya kujaza ambavyo ni SAUT NA TUMAINI DAR.
Nyie mnaonaje ni right choice au
Msaaada wa vyuo vingine tafadhali wadau