Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,593
- 6,934
Bata na ngamia pia wamehalalishwa, kwa sungura sijui maana nnamfananisha na paka tu
Bata mwenyewe haramu
$ There's clear light at the end of the Tannel $
Ha haaa haaaa hujui unachat na mtu wa wapi ndio maana!Hakuna kitu kama hicho .
Nimeuliza najua kuwa wilaya ya kilolo yote kitimoto hakitakiwi.
Swali langu ni why&how.
Hakuna kitu kama hicho .
Nimeuliza najua kuwa wilaya ya kilolo yote kitimoto hakitakiwi.
Swali langu ni why&how.
Walichomwa Moto kutokana na maradhi yaliyowapata hao viumbe kipindi hicho, baada ya hapo waliendelea kula. Hata ukiingia ugonjwa wa mafua ya ndege huwa tunapewa tahadhari kuhusu ulaji wa kukuTangu lini huyo mdudu akawa halali kuliwa? China,korea n.k wamechomwa moto kutokana na maradhi. Mmepewa kila aina ya wanyama kama vile ng'ombe, mbuzi,kondoo,kuku na bata mle lakini hamridhiki
Nani anaichukia?Nyama ya Kitimoto inasababisha ushoga, ndio maana watu wanaanza kuichukia.
Asome na Isaya 65Sawa ila fanyia Kaz ujumbe niliokupa, Isaya 66 kasome yote taratibu ,neno kwa neno
Na imani utaachana na Hayo manguruwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maandiko huyajui. Hakuna katazo. Kasome maandiko yanayohusiana na katazo hilo kwenye biblia, utaona kuwa kimsingi hakuna katazo. Bali kuna maagizo yaliyoelekezwa kwa kundi fulani la watu. Usitake kulazimisha mfanano wa maandiko ya Biblia na maandiko ya vitabu vingineTii maagizo ya Mungu Mambo ya Walawi 11
Wanafunzi wa Yesu wakauliza, tukibaribishwa chakula .......kuleni vyote wala msiulize ulize; ....akaambiwa ...... kula usikiite najisi. Ningepata muda ningekupa mstari. Kuleni vyote wala msiulize ulize;panya, nguruwe, nyoka mjusi etc. mradi hudhuriki. Nyakati hizi hatujafungwa kwa chakula. Ukisusa sisi twalaSUBIRI JEHANUM MAANA SISI BINADAMU NI WABISHI SANA ,SUBIRI MUNGU ATAKAVYOKUSANYA MATAIFA YOTE ATAKAPOTOA KICHAPO KWA WALA NGURUWE,PANYA ,KENGE NA MACHUKIZO MENGINE
ISAYA 66
15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.
18 Nami nayajua matendo yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote; nao watakuja, nao watauona utukufu wangu.
SIO MIMI NI BWANA KASEMA HIVO, SITAKI POVU
Sent using Jamii Forums mobile app
Amri za Mungu ni zaidi ya kumi;nyingi sanaAsome na Isaya 65
3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
Muongo weweWalaji wa kitimoto.
mbona mi nakulaUongo wangu ni upi??
mbona mi nakula