Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,404
- 79,652
We nae...mi hata hainiingii akilini. Hiyo kampeni yako kuhusu nguruwe na ushoga naona umeikazania sana. Tangu nianze kula hiyo kitu ni zaidi ya miaka 30 sijaona mabadiliko. By the way mimi ni mwanamke acha tu niwe shoga haina madharaSamahani sana mkuu, mimi sikukatazi kula kitimoto lakini huenda hichi nitakacho kueleza kikakushangaza lakini ndiyo ukweli.
Katika Wanyama "wanaoliwa" na binadamu ni Nguruwe pekee anayefanya Ushoga (sodomy), ukiweka madume ya nguruwe pamoja hata kama majike wapo aghlabu kuyaona yakifanyana wao kwa wao, wataalamu wa lishe na chakula wanasema "you are what you eat", yaani mtu yupo (kitabia na mienendo) kulingana na chakula alacho, sasa kwa watu wanaokula sana kitimoto kuna uwezekano mkubwa wao kuwa mashoga sababu ya kula hiyo nyama.
Nguruwe ni miongoni mwa wanyama waliokuwa karibu sana kimfumo ( utendaji wa mifumo mwilini) na binadamu kuliko wanyama wote, hivyo basi ukila nyama yake unakuwa karibu mno na kula NYAMA ya mtu-- kwa maneno mengine ladha ya nyama ya nguruwe inafanana na ladha ya nyama ya mtu, ndiyo maana madaktari leo duniani wanafanyia utafiti wa viungo vya nguruwe kama Maini, macho, mapafu, kongosho nk, viwe viungo mbadala kwa ajili ya binadamu, na hiyo ndiyo faida ya nguruwe kwa binadamu na siyo kula nyama yake.
Ndiyo maana vitabu vitakatifu vyote, vya waislamu, wakristo ,wayahudi vimeharamisha kitimoto kwa sababu ni nyama yenye madhara mengi katika mwili wa binadamu inapoliwa.