Yawezekana, si ndio maana viboko huwa wanavamia makazi ya watu, we unashangaa hiyo wakati isukumani kuna wazee unakuta kana mifugo buku!!!Kwa mujibu wa ITV Katavi ndo mbuga yenyewe Viboko wengi kuliko mbuga yoyote. Ina viboko zaidi ya milioni 2.
Hii habari imenishangaza kidogo ,sidhani kama mkoa Katavi una hata wakazi mil 2 , ina maana viboko ni wengi kuliko watu ?
Ni mil 2 laki mbili na elfu sabiniKwa mujibu wa ITV Katavi ndo mbuga yenyewe Viboko wengi kuliko mbuga yoyote. Ina viboko zaidi ya milioni 2.
Hii habari imenishangaza kidogo ,sidhani kama mkoa Katavi una hata wakazi mil 2 , ina maana viboko ni wengi kuliko watu ?
Kuna mto unaitwa Sitalike, ukienda utaacha kushangaa hiyo idadi.Kwa mujibu wa ITV Katavi ndo mbuga yenyewe Viboko wengi kuliko mbuga yoyote. Ina viboko zaidi ya milioni 2.
Hii habari imenishangaza kidogo ,sidhani kama mkoa Katavi una hata wakazi mil 2 , ina maana viboko ni wengi kuliko watu ?
Mkuu ukiangalia takwimu za mnyamaa anayeongoza kuua watu hapa Africa ni Kiboko, sasa kwa hao viboko wengi huko Katavi hawana madhara au wapo mbali na makazi ya watu kama tembo wanavyosumbua baadhi ya mikoa.Kuna mto unaitwa Sitalike, ukienda utaacha kushangaa hiyo idadi.
Je kuna mbuga iliyo kwenye makazi ya watu??? ( Kutoa Ngorongoro na wamasai)mkuu ukiangalia takwimu za mnyamaa anayeongoza kuua watu hapa Africa ni Kiboko,sasa kwa hao viboko wengi huko Katavi hawana madhara au wapo mbali na makazi ya watu kama tembo wanavyosumbua baadhi ya mikoa.
Halafu huko Katavi kuna mito tu? Hakuna ziwa la karibu?
Aisee hizi ni habari njema kwa Taifa letuKwa mujibu wa ITV Katavi ndo mbuga yenyewe Viboko wengi kuliko mbuga yoyote. Ina viboko zaidi ya milioni 2.
Hii habari imenishangaza kidogo ,sidhani kama mkoa Katavi una hata wakazi mil 2 , ina maana viboko ni wengi kuliko watu ?
Wakija mabeberu utabadilishwa jina na kuitwa Starlike river!.Kuna mto unaitwa Sitalike, ukienda utaacha kushangaa hiyo idadi.
Ila viongozi ni masikini wa kutupwa wa akili. Hawana mbinu wala maarifa ya kubadilisha utajiri wa rasilimali kuwa utajiri na maendeleo ya vitu na watu.Tanzania Ni Tajiri Sana
AstaghfilulahHivi kiboko si ni jamii ya nguruwe