Katavi kuungwa kwenye gridi ya Taifa

Katavi kuungwa kwenye gridi ya Taifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
KATAVI KUUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeokoa kiasi cha Shilingi Bilioni 58.4 ambazo awali zilikuwa gharama zikitumika kwa mwaka kuzalisha umeme kwa mafuta ya dizeli Mkoani Kigoma.

Shirika litaokoa kiasi cha shilingi bilioni 24.7 kwa kuunga Mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa, mradi umefikia asilimia 94 na unategemewa kukamilika mwezi Aprili 2025.
 

Attachments

  • FB_IMG_1743326070147.jpg
    FB_IMG_1743326070147.jpg
    98.6 KB · Views: 16
Watoa taarifa hizi kumbukeni watanzania sio wajinga kiasi hiki, badilisheni mfumo wa utoaji wa taari.
Hizo takwimu zinaonyesha kwamba baada ya kuunganishwa kwa umeme wa gridi ya taifa maana yake ni kwamba hapatakuwepo na garama zingine za uendeshaji au mimi ndio sijaelewa.
Eti TANESCO WAMEOKOA AU WANAONGEZEA, NI MAWAZO YANGU TU
 
TANESCO Msituchoshe na hizo garama wakati tunao umeme wa bwelele kutoka nchi jirani ya ethiopia, unganisha pale namanga.
 
Back
Top Bottom