Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,882
- 105,279
Mkuu upo "inji" hii?Masiku mengi "sijakusomaga"!👏😂Mijimaji ya maiti
Mkuu upo "inji" hii?Masiku mengi "sijakusomaga"!👏😂Mijimaji ya maiti
Mkuu upo "inji" hii?Masiku mengi "sijakusomaga"!👏😂Mijimaji ya maiti
Nipo mzeeMkuu upo "inji" hii?Masiku mengi "sijakusomaga"!👏😂
hii habari ni kweli, huyu bwana alikuwa anatoa dawa na maombi uwanja wa shule ya azimio (pembeni ya msikiti mkuu).acha uongo wewe msikitini hakuna maji ya baraka na wala hakuna msikitini mkuu wa ijumaa.. na wala hakuna utaratibu wa kunyweshana maji msikitini jaribu kumuuliza vizuri huyo aliyekupa habari hizi usikurupuke.
Nasubiri simu yako ya kuunga majuhudi mzee baba.Sipati "fotografia" wanyaki watakavyokununia😂😂😂😂Nipo mzee
Unaheeeeeeema! Tuliza tu moyo, hayo yote polisi watayafanya kabla hawajampeleka mahakamani, huna haja ya kuheeeemaMuda wake wa kuishi duniani ulikwisha huyo ndugu wasitafute namna, cha msingi huyo anaeshikiliwa na polisi basi wafanye uchunguzi wa kitaalamu wa hayo maji kama yana kemikali, au sumu za kuweza kudhuru na kuua binadamu vinginevyo ushahidi wa kumpata na hatia huyo anaeshikiliwa ni mdogo sana,