kataaaaaaa kata....

Kwa lipi la ziada alilonalo?

Babu J wewe chai tu.

Nakuharibu kwa kukutia tui tu.

Una nini wewe? Mali hunazo tena. Akili hujawahi kuwa nazo.

Ngoja nisuke dili na Shualina aje akupukutishe kabisa ufulie na ufubae.
 
Hehehehe atoe wapi hela ya pampas?.......unamjua Nyani Ngabu wewe?

Bado naendelea kukuitroduce kwa jf memba sawa eeh!

hahahahaha! Halafu wewe. Naomba introduction ifungwe. Huyo ni mtu anajiita nyani au ni nyani kweli? Lol
 
Last edited by a moderator:
Heheheee ntakuletea aisee na ninavyoenda watoto ntakuomba unipe au nije tukae wote huko lol

sweetlady amenipa financial status yako anadai umefulia. Ningekuozesha mwanangu huyo kwenye avatar ila sitaki mkwe mchovu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…