Kwa nini ule vyakula vya wanyama.
Kwa nini ule kitu ambacho kina nafasi kubww ya kukufanya uwe na mwili usio eleweka.
Kwa nini ule kitu kinachoweza kukuleta high blood pressure na cancer.
Kwanini ule MATOFALI
Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...www.jamiiforums.com
Nina miaka mitano sijala UGALI
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali. Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa. Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym. "Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?www.jamiiforums.com
Ni mbaya ila ugali hauna hata ladhaHata Wali, viazi, ngano, zote ni mbaya, similar to ugali
Ni mbaya ila ugali hauna hata ladha
Ugali una ladha mbaya😅😅Hata mboga mboga kuchukuchu hazina ladha, kama ni swala la ladha, that is another issue, katika muktadha wa afya, ugali na wali upo kundi Moja!
Vijana mkishazowa chips za Dar es salaam ndo mnakuwa hivi!
Ni mtazamo wako tu. Ugali ni menu moja safi sana... Hasa ukipata compatible suppliments.Kwa nini ule vyakula vya wanyama.
Kwa nini ule kitu ambacho kina nafasi kubww ya kukufanya uwe na mwili usio eleweka.
Kwa nini ule kitu kinachoweza kukuleta high blood pressure na cancer.
Kwanini ule MATOFALI
Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...www.jamiiforums.com
Nina miaka mitano sijala UGALI
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali. Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa. Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym. "Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?www.jamiiforums.com
Ugali wa mchicha na tuvinyango vya nyama na pilipili kwa mbali Saint AnneNi mtazamo wako tu. Ugali ni menu moja safi sana... Hasa ukipata compatible suppliments.
Kwa nini ule vyakula vya wanyama.
Kwa nini ule kitu ambacho kina nafasi kubww ya kukufanya uwe na mwili usio eleweka.
Kwa nini ule kitu kinachoweza kukuleta high blood pressure na cancer
Kwanini ule kitu kisochokuwa na vitamin and mineral deficiencies,
Kwanini ule MATOFALI
Naungana na Dr Hayaland, ulaji wa ugali ni mateso, no wonder wenzetu wanalishia nguruwe na ng'ombe
Kwanza Mwili unakuwa hauweleki kabisa, watu wengi wameambulia kuwa vijeba kisa ya ugali au miili ilijitengeneza utafikiri scooby dooby doo. Ugali, haswa unapokobolewa, una index ya juu ya glycemic, kumaanisha kuwa inaweza kusababisha kuongezeka kwa kasi kwa viwango vya sukari kwenye damu...www.jamiiforums.com
Sio wote wamelelewa na ugali , kuna wengine ni ndiziKweli masikini akipata matako hulia mbwata,mnakikana chakula kilichowalea?
Ukiwa na sahani ya namna hii, ukisema ugali mbaya nitakuelewa.Ugali ndio chakula cha taifa, ilitakiwa iwe kwenye katiba
View attachment 3388989
Hivi saint Anne ni bia eeh?Ugali wa mchicha na tuvinyango vya nyama na pilipili kwa mbali Saint Anne