Hapana, ila akili zako ni ndogo sana na hii ni moja ya sababu kwanini hakuna haja ya kuoa.Kwani mmeshikiwa panga??
Hapana, ila akili zako ni ndogo sana na hii ni moja ya sababu kwanini hakuna haja ya kuoa.Kwani mmeshikiwa panga??
Kama hamjafunga ndoa Kuna namna unaweza kutengua vifungu vya sheria lakini kama cheti Cha ndoa kipo hapo mwanamke akiamua kukuchinjia baharini mwanaume hauchomokiUkiishi miaka miwili na kuendelea na mwanamke hata usipomuoa, Sheria itawaoza.
Watetezi wa ndoa wana hoja za kipumbavu sana. Fikra zao zimeishia kwenye ushoga, yaani ukipingana na ndoa Moja kwa Moja wanakuja na attacking za mapenzi ya jinsia Moja wakati ni mambo ambayo hayana uhusiano wa Moja kwa Moja.Mwanaume kutokukuoa wewe haimaanishi kwamba mbadala wa maamuzi yake ni kuoa mwanaume mwenzake, nyie wanawake wa kisasa mna reasoning mbovu sana... yaan mtu akifanya maamuzi yasiokupendeza wewe unaanza kufanya assumptions za ajabu ajabu tu hili kufiti mitazamo yako.
Anyway, kwa aina ya wanawake tulionao ambao wengj wana reasoning na fikra mbovu kama zako, naona jamaa yuko sahihi kutokuoa.
haya waombaji ushauri waendeMwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane.
Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio amefunguka 👇
"Katika maisha yangu kuna vitu vitatu vikubwa ambavyo sio ndoto yangu, cha tatu ni hiyo kuoa. Siamini ndoa, sifagilii na sifurahii, ukinifuata kama mshkaji unataka kuoa sikushauri"
"Nipo tayari kuishi na mwanamke hata miaka 100 lakini kipengele cha ndoa kisiwepo"
View attachment 3405880
"Hauhitajiki kuwa na akili nyingi sana kuona kwamba kwenye Dunia ya sasa ndoa haina maana tena"Watetezi wa ndoa wana hoja za kipumbavu sana. Fikra zao zimeishia kwenye ushoga, yaani ukipingana na ndoa Moja kwa Moja wanakuja na attacking za mapenzi ya jinsia Moja wakati ni mambo ambayo hayana uhusiano wa Moja kwa Moja.
Hii tabia wangekua nayo wanawake tu kidogo ningeelewa kwa sababu wao wanaweza kuitumia ndoa kama mradi wa kibiashara. Obvious mtu anaevuluga masilahi yako lazima utakua mkali tu. Kinachonisikitisha kasumba hii imewakumbuka mpaka wanaume.
Hauhitajiki kuwa na akili nyingi sana kuona kwamba kwenye Dunia ya sasa ndoa haina maana tena kwa mwanaume.
uSiombe upange sehem ambako kuna wapangaj wengi wenye familia afu uwe hujaoa,aisee utasemwa mpaka basi"Hauhitajiki kuwa na akili nyingi sana kuona kwamba kwenye Dunia ya sasa ndoa haina maana tena"
Hiyo iko wazi kwa mwanaume yeyote ambaye anatumia zaidi akili kuliko hisia.
Wanaume wenye akili wengi hasa wenye mafanikio suala la kuoa hawataki hata kuliskia sababu wanajua jinsi legal system inavyoweza kuwarudisha nyuma kimaendeleo ndani ya muda mfupi mwanamke akiamua kuitumia vibaya.
Na hata wazee wengi wa zamani wenye akili ukikaa nao wanasema kabisa kwamba kwa jinsi sheria za ndoa za sasa zilivyo hata wao wasingeoa.
Tatizo siku hizi wanaume wengi wanooa ni viazi mno ambao hawana uwezo wa kufikiri kiasi cha kuona risks zilizomo kwenye hiyo taasisi na jinsi wanawake walivyoigeuza mradi wa kujipatia utajiei kirahisi wakisaidiwa na sheria za mbovu.
Na wanaume hao(modern married men) kutokana na wao kukosa matumizi ya akili na kujikuta wanatumia hisia kwenye kila jambo ndio tunaona wanasema mbadala wa mwanaume kutokuoa basi ni yeye kujihusisha na ushoga, yaan hawaoni kwamba kile anachokipata yeye ndoani kwa huyo mke wake hata wewe ambaye haujaoa una uwezo wa kukipata tena maradufu kuliko yeye.
Ninawaelewa wanawake wanavyofanya age shaming kwa wanaume wasiotaka kuoa sababu ndoa ni baishara yao rahisi ya kujipatia mali, ila kwa wanaume wanaobeza wanaume wenzao wasiotaka kuoa nawaona ni wajinga wa mwisho ambao bado hawajajua reality ya taasisi ya ndoa ilivyo kwa sasa, ila sema ipo siku watatuelewa tu.
Kiukweli hakipo,zaidi ya kuwa mtumwa tuKwa dunia sasa hakuna kitu special ambacho mwanaume ananufaika nacho kwenye ndoa
Sizani kama jamaa anadindisha huyuMwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane.
Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio amefunguka 👇
"Katika maisha yangu kuna vitu vitatu vikubwa ambavyo sio ndoto yangu, cha tatu ni hiyo kuoa. Siamini ndoa, sifagilii na sifurahii, ukinifuata kama mshkaji unataka kuoa sikushauri"
"Nipo tayari kuishi na mwanamke hata miaka 100 lakini kipengele cha ndoa kisiwepo"
View attachment 3405880
Huyu ni PONJOROMwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane.
Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio amefunguka 👇
"Katika maisha yangu kuna vitu vitatu vikubwa ambavyo sio ndoto yangu, cha tatu ni hiyo kuoa. Siamini ndoa, sifagilii na sifurahii, ukinifuata kama mshkaji unataka kuoa sikushauri"
"Nipo tayari kuishi na mwanamke hata miaka 100 lakini kipengele cha ndoa kisiwepo"
View attachment 3405880
Anawachapa sana tu,tena wao ndo hujigongaSizani kama jamaa anadindisha huyu
Kwani yeye ni nani mpaka tushike anachoamini? Kataa ndoa endeleeni na maisha yenu, wanaooa wabarikiwe Sana acheni waendelee na maisha Yao, mbona watu wanafilisika na kufukuzwa makazini hamsemi Kataa biashara au kataa Kazi? Kila kitu kina changamoto zake na si kuzikimbia.Mwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane.
Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio amefunguka 👇
"Katika maisha yangu kuna vitu vitatu vikubwa ambavyo sio ndoto yangu, cha tatu ni hiyo kuoa. Siamini ndoa, sifagilii na sifurahii, ukinifuata kama mshkaji unataka kuoa sikushauri"
"Nipo tayari kuishi na mwanamke hata miaka 100 lakini kipengele cha ndoa kisiwepo"
View attachment 3405880
Yuko sahihi kabisa, Naunga mkono hoja.Mwarabu Hemedyphd anasema ndoa sio kitu anachokiamini katika maisha yake na yupo tayari kuishi miaka 100 na mwanamke lakini asimuoe/wasioane.
Akipiga story na #PlanetBongo ya @eastafricaradio amefunguka [emoji116]
"Katika maisha yangu kuna vitu vitatu vikubwa ambavyo sio ndoto yangu, cha tatu ni hiyo kuoa. Siamini ndoa, sifagilii na sifurahii, ukinifuata kama mshkaji unataka kuoa sikushauri"
"Nipo tayari kuishi na mwanamke hata miaka 100 lakini kipengele cha ndoa kisiwepo"
View attachment 3405880
kausha broo, achana nao waendelee na Zinaa,Kwani yeye ni nani mpaka tushike anachoamini? Kataa ndoa endeleeni na maisha yenu, wanaooa wabarikiwe Sana acheni waendelee na maisha Yao, mbona watu wanafilisika na kufukuzwa makazini hamsemi Kataa biashara au kataa Kazi? Kila kitu kina changamoto zake na si kuzikimbia.
Tukikaa kimya tutakuwa tumekubaliana naokausha broo, achana nao waendelee na Zinaa,
Afande fetty ukisema wewe inatoshaNdoa sio kwa ajili ya kila mtu, kuna wengine mliumbwa ili mbaki wasimbe tu.....