kataa mashimo ya zamani

kataa mashimo ya zamani

elite wastes

Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
67
Reaction score
30
Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua wewe na majirani zako.
Elite Wastes inakuletea mfumo ambao unaepuka usumbufu huu wote na unatoa faida nyingi zaidi, ikiwa ni pamoja na uwezo wa kujenga juu ya shimo letu bila madhara yoyote, mfumo ambao haujai kamwe, na pia unatoa muonekano mzuri kwa eneo lako.
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwani ni kero kubwa.
Tembelea wasifu wetu ili kuwasiliana nasi, Elite Wastes.
 

Attachments

  • 871fef2e-9397-4f24-b962-a379a5bba1ec.jpeg
    871fef2e-9397-4f24-b962-a379a5bba1ec.jpeg
    1,017 KB · Views: 18
Nina shimo ambalo mwanzo lilikua la familia baadaye pakawekwa wapangaJi shimo tukawa tuna vuta Kila mwaka nataman kuchimba. Shimo lingine je linachukua eneo kubwa maana eneo lililobaki sio kubwaa kivile
 
Heading imenifanya nifungue uzi kwa kasi ya mwanga, nimewaza mbali sana nilipo soma kataa mashimo ya zamani ...🤣
 
Tangazo Zuri

Ila umetushtua sana hiyo kusema "mashimo ya zamani"

Watu tumewaza mbali
 
Ungeweka link za insta bro tukaona kazi zenu, sio kila mtu ana nafasi ya kupiga simu kwako, na gharama uziweke hapa usiseme mpaka upigiwe ndo utazitaja hayo mambo ya kizamani
 
link ya instagram

au text, piga au whatsapp
0678895319
 
😁😁 pitia instagram kuona kazi
au tuwasiliane whatsapp, calls or normal texts 0678895319
 
au tuwasiliane whatsapp, calls or normal texts 0678895319
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom