Kataa kitambi, unene kupindukia sio afya

Kataa kitambi, unene kupindukia sio afya

Tumbo ni lake haliiumi,hakuombi kushauri,halimtesi ila wewe sasa Kisebu sebu na kiroho papo
 
Matumbo makubwa ni mili ya asili au unene ndo mili ya asili ?
Unamjua Love yule muigizaji wa Jua kali . zile genes ziko among Us.

Unene ni miili ya asili na inaendana na Tumbo kubwa.

Kitambi ndio cha kujitakia, na kinaondoka kirahisi. ila pia unaweza kuwa na Kitambi na usiwe mnene pia.
 
Nilichogundua,
Wengi ni wanene sababu ya ULAFI
 
Ni Kujiendekeza tu
Hali siyo nzuri mitaani, yaani sababu ya mtu kufanya kazi ofisini tu tayari kitambi kinakuja...maofisini mnapishana kwenye korido kama wajawazito vile, hatujui tunakula Nini hili ni tatizo.
 
Nna jamaa yangu namuita BIGGY,
Zaman nilijua ni mwili wake wa asili,

Mpaka pale nivopata fursa ya kusafiri nae nje kama wiki hivi tuko pamoja.

Kutokana na uhaba wa sehemNyingi za kula vyakula vyetu hivi vya kiafrika

Huwa nakula vzur alfajiri sana,
supu na chapati moja kubwa, nasindikizia maji baridi afu ndo imetoka hiyo hadi jioni, sababu mizunguko inakua ni mingi sn na muda huwa hautoshi.

Sasa mwenzangu,
kila baada ya masaa 2 njaa INAUMA, kila anachoona wanakula anasimama na kula kdg

Anashangaa nawezaje kula supu na chapati asbh na nikatobia siku nzima.

Nkamwambia, ni mara kibao uwa nasahau kula.
 
Wamekataa kumwelewa janabi wewe watakuelewa kweli?
Vipi kwa wasukuma wenye maumbo makubwa na vitambi vya kuzaliwa wamsikilize Janabi?

Janabi kusema kakonda itakuwa kumpa sifa asizokuwa nazo

Janabi hajakonda ila kakondeana

Mwili wa lishe duni ule
 
Back
Top Bottom