Kata ya Muleba Mjini waitakayo

Jan 2, 2014
94
18
Kata hii imeongozwa na diwani wa CUF kwa miaka kumi na tano lakini diwani huyu hakuna alichowafanyia wananchi wa kata hii zaidi ya majigambo yake na kujiita msomi.

Mpaka leo shule ya kata ya Sekondari haijaisha tangu walipoanza michango mnamo mwaka wa 2007 mpaka leo, mbaya zaidi diwani huyu amelewa madaraka anaweka mikutano anatukana watu kuwa yeye awezi kubeba mizigo awezi kwenda kwenye vijiwe vya kaawa vinakaa kwenye majungu wakati ndio waliomueka madarakani.

Sasa ni muda wa wananchi kumchagua Sijaona.
 
Huyo sijaona ni wa kyama gaani muzeeeee
 
Huyo sijaona ni wa kyama gaani muzeeeee

Hawa jamaa wa Muleba watabakia kwenye UNAFIKI wakati sehemu zingine zianapiga hatua ya maendeleo. Sasa mtu anakuja kusema eti SIJAONA ili itusaidie nini? Weka VC ya huyo SIJAONA na zaidi ya hapo weka ID yako inayoeleweka ili tukuulize sintofahamu kuhusu ulichokiandika! Muleba ndugu zangu dunina imebadirika na si wakati wa majungu ya VIJIWENI!
 
Hebu tuandikie vizuri basi tujue huyo aliyepo ni nani na huyo sijaona ni nani. Na ni vizuri ukaweka cv zao ili tupate cha kujadili hapa.
Maana mimi mwenyewe pia nafikiria nivuke maji nije kugombea hilo jimbo.
 
Mbona kama unatumia hisia zaidi kuliko facts? muuze Sijaona basi ili tumfahamu vizuri CV n.k
 
Hawa jamaa wa Muleba watabakia kwenye UNAFIKI wakati sehemu zingine zianapiga hatua ya maendeleo. Sasa mtu anakuja kusema eti SIJAONA ili itusaidie nini? Weka VC ya huyo SIJAONA na zaidi ya hapo weka ID yako inayoeleweka ili tukuulize sintofahamu kuhusu ulichokiandika! Muleba ndugu zangu dunina imebadirika na si wakati wa majungu ya VIJIWENI!
Si unaona mfano pale njia panda kaboya panavochanua Mzee wee waache Muleba watajibeba
 
Kata hii imeongozwa na diwani wa CUF kwa miaka kumi na tano lakini diwani huyu hakuna alichowafanyia wananchi wa kata hii zaidi ya majigambo yake na kujiita msomi.

Mpaka leo shule ya kata ya Sekondari haijaisha tangu walipoanza michango mnamo mwaka wa 2007 mpaka leo, mbaya zaidi diwani huyu amelewa madaraka anaweka mikutano anatukana watu kuwa yeye awezi kubeba mizigo awezi kwenda kwenye vijiwe vya kaawa vinakaa kwenye majungu wakati ndio waliomueka madarakani.

Sasa ni muda wa wananchi kumchagua Sijaona.
ina maana miaka yote ya utawala wa ccm wameshindwa kujenga hiyo shule alafu unamtegemea mtu mmoja tu, wa CUF, kweli ccm ni majanga ya taifa
 
Back
Top Bottom