Kata K kwa vijana wetu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kata K kwa vijana wetu...

Discussion in 'Jamii Photos' started by ndetichia, Jan 12, 2012.

 1. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  huyu kamera lilimkuta maeneo ya mujini bongo...
   

  Attached Files:

 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndivyo walivyo watoto wa mujini..
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  Kama ni huyu mbona hata church anazama!!?? Hujawahi kuona kata K za ukweli!!!! mbaya zaidi chupi zinakuwa na rangi tifauti na ya dukani..............kuiga mambo usiyoyajua..wenzetu kata K ilikuwa nitangazo la kampuni fulani kupitia chupi husika a hasa mastaa wanalipa pesa nyingi tu kufanya hivyo...inanikumbusha pia stroy ya mpasuo kwamba ni dada ambayesketi yake baada ya kushonwa haikumtosha maeneo ya maungio hivyo akaomba ikatwe kidogo (mpasuo) ili kitambaa hicho kiungwe na kumtosha kiunoni .......baadaye imekuwa ni fasheni.......
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hawajielewi
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  mi naona kavaa kiheshima. wenzake wanavaa kata K kuanzia suruali hadi chupi. Mia
   
 6. driller

  driller JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hawa hawajui wanalolifanya...! jamaa mmoja magomeni nusura aliwe kiboga na mabaharia wakigiriki kwa kutokujua ni position ipi ya sikio anatakiwa kuvaa heleni...!
   
 7. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hivi huyu jamaa anahabari kuwa ulimpiga picha!!?mbona kama vile hajui chochot[​IMG]e na yuko na mishemishe zake!!!!watch out
   
 8. t

  tshaka Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kachoka na kivuko cha kigamboni anaelekea chuoni IFM hapo karibu na jengo la utumishi kivukoni,maisha magumu mpaka kwenye nguo zao![​IMG]e na yuko na mishemishe zake!!!!watch out[/QUOTE]
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mpaka ukweni unnakwenda na kata K duh
   
 10. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana wa Cameron, upuuzi mtupu
   
 11. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sipendi tabia ya vijana wa kiume kuacha chuoi nje nje. Tusaidie kuwashauri vijana wetu.
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mbona kama amebeba kibegi cha ki-Obameroon??
   
 13. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mimi ntaendelea kuvaa hivi hata nikichekwa

  [​IMG]
   
 14. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,119
  Trophy Points: 280
  Wanasema wanakwenda na wakati kumbe wanapotea na wakati.
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  umeona enhee...
   
 16. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Mmeshndwa kuwapatia vazi la taif wacha vijana wajivalie..kila ktu tumeiga,kama vpi 2rudi zama zle kwa wanawake kuacha maziwa nje na kufunika nyeti kwa majani,
   
 17. D

  Dina JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hivi hizo suruali huwa wanazibana na nini mpaka haziporomoki?
   
 18. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,327
  Trophy Points: 280
  Aaah! Kila mtu na Maisha yake! Mind yo own damn business.
   
 19. T

  TUMY JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo mbona kawaida sana mkuu:photo:
   
 20. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hawa vijana bwana
   
Loading...