Kasulu: Mazishi ya mtumishi wa mahakama na kada wa CCM yazua maswali

ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
0
Tarehe 25 Desemba 2013, aliyekuwa karani muajiriwa wa mahakama ya wilaya Kasulu ndugu Joseph Obed Kasyome, alitutangulia mbele za haki. Leo hii imefanyika ibada ya kuzikwa kwake iliyoambatana na mbwembwe nyingi, za kufunika jeneza la marehemu kwa bendera za chama cha mapinduzi, green guard wakaubeba mwili wa marehemu kuelekea kaburini wakati huo huo bendera za CCM zikipepea full mlingoti kwenye vijiti zilipopachikwa.

Katika mazishi hayo ambayo yaliongozwa na mkuu wa wilaya Kasulu bw. Dann Makanga,sambamba na Dann Nsanzugwanko, mwenyekiti wa CCM Kasulu Bw. Kaloba na mfiwa (dada wa marehemu) Ester Obed Kasyome, diwani viti maalumu CUF, ilisomwa katika historia fupi ya marehemu kuwa pamoja na yeye kuwa mtumishi wa mahakama pia alikuwa kada na mwenyekiti wa tawi mojawapo la CCM mtaa wa Murubona. Miongoni mwa maswali yaliyoibuka ni je, kuna uhalali mtumishi wa mahakama kuwa kiongozi wa chama cha siasa?

Pia waliohudhuria mazishi hayo walikuwa na viulizo kibao ikiwa mtindo huu wa mbwembwe za namna hii ukiendelea si utakua chanzo cha kubaguana? Chadema watafanya kivyao, NCCR kivyao na kwa kuwa tayari siasa za kibongo zimekuwa uhasama huenda itahatarisha uhusiano wa watanzania na mshikamano wao kupelekea kila jeneza linalopambwa kwa bendela ya chama fulani wazikane wao kwa wao.

Watu waliohudhuria mazishi hayo wengine walifika mbali zaidi, wakasema mbwembwe hizo ni kumufurahisha diwani viti maalumu Ester Kasyome CUF kwa tendo la fadhila alizowafadhili CCM akapokea rushwa kwenye uchaguzi wa nani awe mwenyekiti wa halmashauri ya kasulu katika uchaguzi uliopita wa 2010 na kura yake kumpatia Bw. Lutuli mwenyekiti wa sasa (ccm). Inasemekana kuwa kuna ushahidi wa 100% kuwa diwani huyo wa CUF ndiye alisalilti wanakasulu wapenda mabadiliko ya kidemokrasia.

NB. Dann Makanga ndiye huyo ambaye hivi karibuni amesemwa sana Bungeni kwa kuamuru kufyekwa mahindi ya wakulima na kuwaacha wafugaji wakivunja sheria hiyo hiyo hata Kamanda freeman Mbowe alimtaja. Na
 
Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,892
2,000
Inaonekana hii dhana ya uanachama wa chama cha siasa na utumishi wa uma hujaelewa bado miiko yake.
 
Baba Wawili 2012

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
413
225
hata avatar yako imekaa kitubiotubio........uzi wa kinafiki na kuunga unga...mara mazishi, mara uchaguz wa mwenyekiti, mara kufyeka mahindi...uelewek kama unga wa ngano,,,,,maandaz wewe, chapati wewe, mara mkate, vishet.....kajipange uje na kimoja.......
 
ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
0
Acha wivu wa kike!! Yeye hana haki ya kuwa mwanachama.

Acha matusi na hasira, yaliyoripotiwa ni yaliyoonekana na kushuhudiwa yakitendeka na yakazua maswali miongoni mwa waliohudhuria na hata baadhi yao wakafika mbali wakasusa mazishi hayo. Jenga hoja utusaidie kuelewa kwani uchanga wa kujua mambo unahitaji hoja thabiti ili kuwaelewesha wasio elewa. Jenga hoja, fafanua hakuna mwenye furaha kwa kifo cha mwenzetu ukizingatia sisi wote tunapiga hatua kuelekea kaburini hatujui nani atatangulia kufika huko tuendako.
 
ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
0
Inaonekana hii dhana ya uanachama wa chama cha siasa na utumishi wa uma hujaelewa bado miiko yake.

Huenda tupo wengi, tusaidie kwa ufafanuzi kwa vifungu vya sheria tujenge Taifa. Tunasikia Dr Kitila Mkumbo amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kujihusisha na chama cha siasa CHADEMA akiwa mtumishi wa UMMA UDSM NA DUCE.
 
Umslopagazi

JF-Expert Member
May 16, 2013
1,463
2,000
hata avatar yako imekaa kitubiotubio........uzi wa kinafiki na kuunga unga...mara mazishi, mara uchaguz wa mwenyekiti, mara kufyeka mahindi...uelewek kama unga wa ngano,,,,,maandaz wewe, chapati wewe, mara mkate, vishet.....kajipange uje na kimoja.......

Mleta uzi ana hangover ya kale kanywaji kalikobarikiwa na Paroko majuzi.
 
ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
0
hata avatar yako imekaa kitubiotubio........uzi wa kinafiki na kuunga unga...mara mazishi, mara uchaguz wa mwenyekiti, mara kufyeka mahindi...uelewek kama unga wa ngano,,,,,maandaz wewe, chapati wewe, mara mkate, vishet.....kajipange uje na kimoja.......
Jambo lolote linapozua maswali mseto elewa lazima kutakuwepo majibu yenye kutofautiana . Ndio maana katika kiswahili zipo tungo tata, kama una zaidi ya hayo tueleze acha hasira usisomeke kiliberali.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,614
2,000
ccm wameshakosa majukwaa masafi ya kuhutubia wananchi, (bila kutumia rushwa na hila kuwakusanya) wanawavizia kwenye misiba. si muda mrefu ujao na yenyewe (ccm) tutaisomea "ulitoka kwa udongo. . . . . . ." manake muda huu ipo motuary
 
ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
0
Mod tuondolee huu ushuzi hapa pls

Mwenyekit wa tawi kwanini asizikwe na chama chake ?

Ni mtumishi wa Mahakama naomba kujua ikiwa anapaswa kuwa kiongozi wa chama cha siasa. Haya ni yaliyojiri kwenye mazishi sio maoni yangu. Hebu fikiria ilifika wakati baadhi ya waliohudhuria kuona vile wakaondoka hawakushiriki kuzika. Hivyo basi kama una maelezo ya kisayansi ya sheria ya utumishi wa umma tusaidie kujua tudumishe mshikamano. Habari za ushuzi mnazijua ninyi waliberali hapa ni hoja kwa kwenda mbele!
 
Nilikuwepo kwenye mazishi ya huyu jamaa, inasemekana kupitia minong'ono amepigwa kitu kizima kwa sababu alitumwa rushwa akampe hakimu akala yeye. Hakimu akatekeleza majukumu yake akamlipua mtu miaka 15 jela na kazi ngumu. Jamaa za mlipuliwaji wakamsihi sana arudishe hela alizopewa akajibu kwa kiburi fanyeni mtakalo mnaloliweza. Wamefanya! Japokuwa ni vigumu kuthibitisha hilo ila kwa nafasi yake mahakamani ni rahisi kuamini hivyo.
 
Baba Wawili 2012

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
413
225
Jambo lolote linapozua maswali mseto elewa lazima kutakuwepo majibu yenye kutofautiana . Ndio maana katika kiswahili zipo tungo tata, kama una zaidi ya hayo tueleze acha hasira usisomeke kiliberali.

Hivi ujuwe ktk hili jukwaa....hatuna sababu ya kuleta yenye mistari miwili ambayo aina kichwa wala miguu....uwezi kuja uzi wa sentesi mbili wenye mada zaidi ya mbili.....hili ni jukwaa na watu wenye weledi na kujadili mambo tunafikir yanaweza kuleta chachu ya maendeleo katika taifa hili..habari nyembamba kama yako ipeleke kule Fb....watu wanalike kila status.......no arguments .......hivi hukuona neno lingine zaidi kulitumia kiliberali.......????mimi kwa elimu yangu ndogo...niliyosomea watu....huwa naamini mtu mwenye kutamkatamka kitu bila mtu kuanzisha ana mausiano makubwa na hilo neno......."there are no empty term"......acheni hizo mambo...msikurupuke kwa hoja hapa......!!!
 
ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
0
Tarehe 25 Desemba 2013, aliyekuwa karani muajiriwa wa mahakama ya wilaya Kasulu ndugu Joseph Obed Kasyome, alitutangulia mbele za haki. Leo hii imefanyika ibada ya kuzikwa kwake iliyoambatana na mbwembwe nyingi, za kufunika jeneza la marehemu kwa bendera za chama cha mapinduzi, green guard wakaubeba mwili wa marehemu kuelekea kaburini wakati huo huo bendera za CCM zikipepea full mlingoti kwenye vijiti zilipopachikwa.

Katika mazishi hayo ambayo yaliongozwa na mkuu wa wilaya Kasulu bw. Dann Makanga,sambamba na Dann Nsanzugwanko, mwenyekiti wa CCM Kasulu Bw. Kaloba na mfiwa (dada wa marehemu) Ester Obed Kasyome, diwani viti maalumu CUF, ilisomwa katika historia fupi ya marehemu kuwa pamoja na yeye kuwa mtumishi wa mahakama pia alikuwa kada na mwenyekiti wa tawi mojawapo la CCM mtaa wa Murubona. Miongoni mwa maswali yaliyoibuka ni je, kuna uhalali mtumishi wa mahakama kuwa kiongozi wa chama cha siasa?

Pia waliohudhuria mazishi hayo walikuwa na viulizo kibao ikiwa mtindo huu wa mbwembwe za namna hii ukiendelea si utakua chanzo cha kubaguana? Chadema watafanya kivyao, NCCR kivyao na kwa kuwa tayari siasa za kibongo zimekuwa uhasama huenda itahatarisha uhusiano wa watanzania na mshikamano wao kupelekea kila jeneza linalopambwa kwa bendela ya chama fulani wazikane wao kwa wao.

Watu waliohudhuria mazishi hayo wengine walifika mbali zaidi, wakasema mbwembwe hizo ni kumufurahisha diwani viti maalumu Ester Kasyome CUF kwa tendo la fadhila alizowafadhili CCM akapokea rushwa kwenye uchaguzi wa nani awe mwenyekiti wa halmashauri ya kasulu katika uchaguzi uliopita wa 2010 na kura yake kumpatia Bw. Lutuli mwenyekiti wa sasa (ccm). Inasemekana kuwa kuna ushahidi wa 100% kuwa diwani huyo wa CUF ndiye alisalilti wanakasulu wapenda mabadiliko ya kidemokrasia.

NB. Dann Makanga ndiye huyo ambaye hivi karibuni amesemwa sana Bungeni kwa kuamuru kufyekwa mahindi ya wakulima na kuwaacha wafugaji wakivunja sheria hiyo hiyo hata Kamanda freeman Mbowe alimtaja. Na

Amaa kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni! Pongezi kwako mleta thread hii kwa kuwa unatutazamisha mambo ambayo vipofu hawawezi kuyaona na wenye macho wakaishia kuoneshwa mwezi wakaangalia kidole. Hali hii sio nzuri wauaji wenye roho mbaya, maccm yanajaribu kutumia misiba kama sehemu ya kampeni.

Achia mbali kwa hilo hata ukiangalia umati uliokuwepo mazikoni unaamini watu hawa wanaushirikiano mdogo na jamii. Unanikumbusha waliofungwa kwa mkono wa marehemu, unanikumbusha dada yake alivyotusaliti wapinzani na wananchi wa Kasulu kwa kuuza kiti kwa maccm. Na isitoshe ninakumbuka Uongozi wa juu wote wa wilaya wakiongozwa na Mh. Mkuu wa wilaya Dann Makanga walivyojikuta ni wao tu, wanandugu na Halmashauri yao magari yakienda tupu mazikoni kisa familia ya baba wa marehemu wanavyojiona wao ndio watu wengine ni manyani. Majirani wengi walisusa!

Huyu diwani CUF Ester Kasyome mtaa wa MURUSI amedhulumu viwanja kibao, haishi mabarazani kwa kesi za viwanja na jinai mbalimbali kwa hilo mimi sishangai. Viongozi wa kubwa, mbembwe kibao, majirani kiduchu ni salamu tosha wajirekebishe.
 
ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
0
Hivi ujuwe ktk hili jukwaa....hatuna sababu ya kuleta yenye mistari miwili ambayo aina kichwa wala miguu....uwezi kuja uzi wa sentesi mbili wenye mada zaidi ya mbili.....hili ni jukwaa na watu wenye weledi na kujadili mambo tunafikir yanaweza kuleta chachu ya maendeleo katika taifa hili..habari nyembamba kama yako ipeleke kule Fb....watu wanalike kila status.......no arguments .......hivi hukuona neno lingine zaidi kulitumia kiliberali.......????mimi kwa elimu yangu ndogo...niliyosomea watu....huwa naamini mtu mwenye kutamkatamka kitu bila mtu kuanzisha ana mausiano makubwa na hilo neno......."there are no empty term"......acheni hizo mambo...msikurupuke
kwa hoja hapa......!!!

Haa! haa! teh teh! unasema mwenyewe una Elimu ndogo, huo weledi wa kujua watu utaupataje? Tuache wenye Elimu kubwa tunamuelewa vizuri mleta thread hii sio mistari miwili kama ulivoiona kwa Elimu yako duni. We ni mliberali tu au nimuombe Mh. Wenje akufafanulie? Au Mh. Lissu akupashe! Au Mh. G. Lemma akufundishe upate Elimu kubwa? Stay tuned I will be back.
 
Baba Wawili 2012

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
413
225
Haa! haa! teh teh! unasema mwenyewe una Elimu ndogo, huo weledi wa kujua watu utaupataje? Tuache wenye Elimu kubwa tunamuelewa vizuri mleta thread hii sio mistari miwili kama ulivoiona kwa Elimu yako duni. We ni mliberali tu au nimuombe Mh. Wenje akufafanulie? Au Mh. Lissu akupashe! Au Mh. G. Lemma akufundishe upate Elimu kubwa? Stay tuned I will be back.Umekurupuka......tena kama ulkuwa unaoga nje...elimu yangu ni yule mwenye kunufaika nayo...ndio atasema kubwa si mm...mimi bado nataufuta elimu mpk mwisho.....hata level niliyofikia....na kwa upungufu wako na uwezo wako mdogo...uko sahihi kuwa na reference ya wenje na Lema... are they your role models kwa sababu ya ubunge au uchama? reference ya mtu ndio inanifanya kujua kiwango chako cha kufikir....peleken hoja zenu huko fb sio humu....sio mmnakuja na thread hazina kichwa wala miguu hoja za kujadili na wake zenu jikon mnaleta humu.......nilijua mtu kwa kujibu kuhusu uliberi kuna mtu mwingine mwenye kuguswa kama utakuja faster.....!!!MLIIBERI MKUBWA WEWE!!! i have to spend my time wisely sio na wakimbiz wa nchi hii
 
ISMAIL MKIMBIZI

Senior Member
Jan 13, 2013
192
0
Umekurupuka......tena kama ulkuwa unaoga nje...elimu yangu ni yule mwenye kunufaika nayo...ndio atasema kubwa si mm...mimi bado nataufuta elimu mpk mwisho.....hata level niliyofikia....na kwa upungufu wako na uwezo wako mdogo...uko sahihi kuwa na reference ya wenje na Lema... are they your role models kwa sababu ya ubunge au uchama? reference ya mtu ndio inanifanya kujua kiwango chako cha kufikir....peleken hoja zenu huko fb sio humu....sio mmnakuja na thread hazina kichwa wala miguu hoja za kujadili na wake zenu jikon mnaleta humu.......nilijua mtu kwa kujibu kuhusu uliberi kuna mtu mwingine mwenye kuguswa kama utakuja faster.....!!!MLIIBERI MKUBWA WEWE!!! i have to spend my time wisely sio na wakimbiz wa nchi hii

Chonde chonde, Baba Wawili na Ismaili Mkimbizi acheni kutoka nje ya mada, kama uliberali ndiyo imeleta utata nafuta kauli niliyeitamka. Naombeni mjibu maswali yafuatayo;

1. Mtumishi wa mahakama ya Wilaya (karani) aliyeajiriwa na anakula kodi ya wananchi anaruhusiwa kisheria kuwa kiongozi wa chama cha siasa?

2. Ni vizuri inapendeza kiongozi wa shina , tawi kuzikwa kwa mbwembwe na jeneza limefunikwa kwa bendera za chama CCM Green Guard nao kuubeba mwili wa marehemu na kuwazuia wananchi wa kawaida wasiguse jeneza? Kama ndiyo au sio hebu jengeni hoja.

3. Inaleta picha gani palipo viongozi wa ngazi ya juu wilayani CCM na Serikali na dada wa marehemu ni diwani kukosa idadi kubwa ya watu ukilinganisha na msiba mwingine wa jirani mtoto mdogo aliyefariki na kusindikizwa na watu wengi zaidi ya huyo mtumishi?
 
1. Haruhusiwi, Dr Kitila Mkumbo wa CHADEMA asingesimamishwa kazi kwa kosa hili ikiwa inaruhusiwa.

2. Kibongobongo sometimes YES sometimes NO! Ila mwisho wa siku Wafu tutawaacha wazikane wao kwa wao.

3. Mh. Dann Makanga na Viongozi wengine hawana noma kwa hili la tatu na ninaamini hata wao wanajiuliza kwa nini walitumia gharama kubwa kuandaa kutangaza na kusubilisha maziko hatimaye wahudhuriaji wakawa kiduchu. Ninawajua vele wele, kidachi vele wahusika wa misiba yote miwili. Ilitokea siku zinazofuatana ni majirani nyumba zinafuatana na mazishi yalifanyika siku moja na wakati mmoja na wachungaji wa endesha misa wa kanisa moja la Anglikana.

Huyu mwingine kupata watu wengi ni kutokana na familia yao Babu, Bibi, Baba na wengineo wanavyoishi vizuri na jamii inayowazunguka. Hawa jamaa wa upande wa pili ni watenda dhambi wakubwa wasiojua nini maana ya ujilani mbali na hivyo ni wasaliti wa demokrasia, sintosahau na wengi hawatasahau haki ya wananchi wa Kasulu ilivyopotezwa na shetani wa Kike Ester Obed Kasyome diwani CUF viti maalum kwa kupokea rushwa na kuuzia maccm kiti cha uenyekiti wa Halmashauri. Muda ukifika nitatangaza vita kali dhidi yake, nina elimu ninastahili na nilistahili kuwa Kiongozi wa Halmashauri hii.

Mwisho: Amini usiamini huyo Baba Wawili ni mliberali tu, hata ayeyushe vp, ukitaka kujua mguse makalio au kifuani binti atawaka vibaya sana bila kujali vitu hivyo ni halali yetu MADUME. Kwa leo naishia hapo nasikia Ester Kasyome amezidiwa na PRESHA yupo hoi asije akafa wakatafuta mchawi wakati mchawi ni yeye mwenyewe na hukumu ni hapa hapa duniani. Sirudi tena Bye Bye.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom