Kasuku Jitulize Nyumbani

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
652
Ugonvi haukuhusu ya nini kutangazia ulimwengu kuwa unaunga mkono uvamizi wa kuwasaka na kuwaangamiza magaidi, huoni kama utajiletea matatizo ndani ya nyumba yako? Kwani huwezi kuunga mkono kimya kimya. Tusiichezee amani tuliyonayo.
 
Hayo ni maazimio ya AU kupambana na Al-Shabaab kwa pamoja. Lakini pia utambue kwamba hawa magaidi hawachaguzi , huyu kasema ndiyo tumpige na yule hajasema tumuache. Sote tunapaswa kuuunga mkono kauli hiyo kwa vitendo yaani kuwa walinzi wa nchi yetu kwa kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi pale tunaposikia au kuona dalili zozote za kuwepo kwa watu wa aina hii nchini mwetu.
 
Ugonvi haukuhusu ya nini kutangazia ulimwengu kuwa unaunga mkono uvamizi wa kuwasaka na kuwaangamiza magaidi, huoni kama utajiletea matatizo ndani ya nyumba yako? Kwani huwezi kuunga mkono kimya kimya. Tusiichezee amani tuliyonayo.

huyu sio kasuku ni bundi
 
keshaanza lema,
na lazima kitaeleweka tu.
 
Mamndenyi mbony tsangameny? Kwel kishanuka hapo kitaeleweka 2
 
Kama hawachagui kwa nini mabomu yaliyopigwa recently Kenya na alshabab hayakupigwa tz?
 
Know and acknowledge the power of silence. Watu huwa hawana point na kutafuta cheap popularity wanalopoka wakidhani wata win mass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…