Kasuku anauzwa

Kasuku anauzwa

Puppy

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
2,995
Reaction score
2,524
Wana Ndugu

Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Kasuku mwenye umri wa karibia Miaka 2.
Mpaka sasa anauwezo wa kuongeza kwa mluzi tu. Ila akilishwa pilipili kwa muda wa miezi miwili mpaka mitatu ataweza kuongea kabisa.

Vyakula vyake ni Alizeti, Karanga Mbichi, Miwa na Pilipili Kali

Bei ya kuanzia ni 175,000/=

Kwa mawasilano ya Namba za simu tafadhali njoo PM.

Nawasilisha
 
AISEEE SASA HUYO KASUKU ATANIONGEZEA PESA ZA MATUMIZI YANGU NIKISHAMNUNUA NITAPATA FAIDA KWELI AU ATAKUWA PAMBO LA NYUMBA YANGU
 
Huyo Kasuku ukimpeleka Lumumba utapata hela nyingi sana maana nilimsikia Mwenyekiti mpya anataka kuwabadili wakina Lizaboni,Jingalao na Barbabosa ili aweke Kasuku maana Kasuku abadili maneno aliyokaririshwa.
 
Kibali cha maliasili unacho?.usije piga wewe mluzi tu.
 
Back
Top Bottom