Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa na Mbunge wa Ruangwa anayemaliza muda wake amesema kuwa anaifahamu Nia thabiti ya Dkt. Samia kwa watanzania na namna anavyotaka kuwaletea maendeleo.
Majaliwa amesema hayo akiwa katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Ruangwa leo na kueleza kuwa yeye Kama Msaidizi wake ambaye amezunguka nchi nzima ameona miradi mikubwa ambayo imekamilishwa chini ya Dkt. Samia akiwa Rais wa Tanzania.