Kasri la Malkia Elizabeth limeanza kujiandaa na kifo cha Prince Philip

Siwezi kuamini huo upumbavu. Ni sawa na kuamini nadharia ya Annunaki na uwepo wa hizo 15 rept and humanoid families. Mbona wanakufa sasa kama wanauwezo wa kujigeuza maumbo yoyote au binadamu yeyote?!
Dunia ina mambo kweli😆😆
Ehehehe🤣🤣🤣 ngachoka,yeah mengi sana,
Ila kuna vitu huwa wanaficha kweli vinavyohusu familia zao mpaka certain period of time alafu wanaviweka kwenye public knowledge,ila sio hayo maconpiracies,ni family matters tu.
 
Family matters za kawaida tu au niseme ni kama utekelezaji wa covert missions flani alafu taifa linakuja kukiri ushiriki wake baada ya miaka kadhaa baadae...
Mfano Ile ishu ya mama ake prince Philips kumficha mamaake huko Greece akiwa kama nun sijui ilikuja kuthibitishwa baadae?
 
Family matters za kawaida tu au niseme ni kama utekelezaji wa covert missions flani alafu taifa linakuja kukiri ushiriki wake baada ya miaka kadhaa baadae...
Yup kama mataifa mengine yoyote yanavyotunza hivyo vitu na sheria zao zinaruhusu kwa muda gani,mfano Us yenyewe kuna vitu kama UFO,watergate,moonlanding,nk nk
 
Yup kama mataifa mengine yoyote yanavyotunza hivyo vitu na sheria zao zinaruhusu kwa muda gani,mfano Us yenyewe kuna vitu kama UFO,watergate,moonlanding,nk nk
Hivi hii issue ya Watergate scandal ilikuja kuwa revealed out baadae au ilibumburuka kipindi kilekilee baada ya wale five perpertrators kukamatwa?
 
Hivi hii issue ya Watergate scandal ilikuja kuwa revealed out baadae au ilibumburuka kipindi kilekilee baada ya wale five perpertrators kukamatwa?
Ilibumburuka kipindi kile kile,ila kuna details walizihold kwa usalama kwa wakati huo,so baadae zikawa revealed baada ya mambo kutulia,mfano hata issue ya Snowden pia,sio kila kitu kimewekwa wazi kihivyo,mambo mengi yakifunguliwa itakuwa shida sana kuanzia America na Europe kwa ujumla
 
Mabadiliko yalianzia kwa Queen Elizabeth II, ingawa haijawekwa wazi kama alipata degree lakini ma professor wa Cambridge na Oxford walimuandaa kuwa kiongozi kwa muda mrefu. Hii ninasikia ilikua ni jitihada ya mama yake ambae hakutaka kupoteza Ufalme kwenye ukoo kwakua hajazaa mtotot wa kiume. Alihakikisha binti yake yuko vizuri katika maswala mengi hasa diplomasia.
 
Hawa ni waingereza...wana midomo sana kama waswahili wa buza

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…