Kaspersky Antivirus kuisha muda wake.

Kaspersky Antivirus kuisha muda wake.

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,375
Reaction score
852
Wanna JF laptop yangu antivirus yake inaisha 19June2014 Je ni lazima nipeleka kwa wanaoweka hiyo antivirus au nikisha nunua toka katika duka la vifaa vya computer naweza weka mwenyeywe. Kama naweza naomba maelekezo ili nikisha nunua, siku ikifika niweze Ku activate.
 
Natafuta anti virus ya kununua jamani mwenye nayo
 
Ukinunua antivirus yoyote dukani utaweza kuinstall mwenyewe. Utapata CD au link ya sehemu ya kudownload na license key.

Ila ushauri wangu ni kuitoa hiyo Kaspersky na kuinstall Microsoft Security Essentials hii ni anti-virus ya bure kutoka Microsoft. Kama una Windows8 hii iko built in na hauna haja ya kuinstall chochote.
Download Microsoft Security Essentials from Official Microsoft Download Center
Na kama laptop yangu ina window 10 hiyo antivirus inakuwepo Samahani Kama nitakuwa nimekosea kuuliza.
 
Back
Top Bottom