Kaspersky Anti-virus VS Norton??

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,661
Nimetumia Kaspersky ya 2012 kwa mwaka mmoja. Nafikiria kubadirisha na kutumia Norton sasa maana Kaspersky naona ipo slow sana, hasa pale ninapowasha computer. Any experience with Norton? nisije nikawa nakimbia mkojo na kukanyaga kitu kingine....
 
nna zaidi ya mwaka sijawahi umiza kichwa kwa ajili ya virus!!!
Nafikiria kubadirisha na kutumia Norton sasa maana Kaspersky naona ipo slow sana
hii inaweza tokana na mengi..
1.uwezo wa mashine yako
2.je umeset anti virus ifunguke ukiwasha pc yako?? na hii pia inachangia...
lazima niseme ukweli kwa antivirus nlizotumia anzia macfee,avast,na hiyo norton sijawahi ona ant virus strong kama kaspersky(KAV)!!!
 
Back
Top Bottom