Huyu jamaa anafanana na NESA,nilihangaika sana,hadi humu niliomba msaada,ila hollaaaaa,ikabd ninyooshe mikono,kuna kazi za watu ikabd nirudie kwa gharama zanguMsaada tafadhali, Files zangu zote zimekua encrypted na uyo jamaa apo juu. Files zote zimekua na Extension ya (.kasp) siwez ku access chochote.
Mwenye kujua Removal Tool, au njia yeyote ya kumtoa, Let me know!
Msaada tafadhali, Files zangu zote zimekua encrypted na uyo jamaa apo juu. Files zote zimekua na Extension ya (.kasp) siwez ku access chochote.
Mwenye kujua Removal Tool, au njia yeyote ya kumtoa, Let me know!