KASP Virus (.KASP File)

GS17

Member
Sep 6, 2018
5
3
Msaada tafadhali, Files zangu zote zimekua encrypted na uyo jamaa apo juu. Files zote zimekua na Extension ya (.kasp) siwez ku access chochote.
Mwenye kujua Removal Tool, au njia yeyote ya kumtoa, Let me know!
 
Huyu jamaa anafanana na NESA,nilihangaika sana,hadi humu niliomba msaada,ila hollaaaaa,ikabd ninyooshe mikono,kuna kazi za watu ikabd nirudie kwa gharama zangu
 
Nimecheki hiyo link dah hacker wanaomba mpunga mrefu sana kwa vipato vyetu hivi, ila jaribu kufuata maelekezo yaliyotolewa huko uone kama utafanikiwa.

Tunaotumia cracks ndo tuko hatarini sana maana ili baadhi ya cracks zi-run mpaka tuzifanyie exclusion ama kuzi-skip wakati wa antivirus scanning na hiyo ni hatari sana.
Muhimu ni kufanya backup kwenye external drive halafu unakuwa huru.

Sent from my cupboard using mug
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom