Wana jamii,
Wale ambao hamjafika kwenye ofisi za ubalozi wa Bongo mjini Washington DC, mnaomba kupita hapo siku moja. Ukiingia ndani utaona floor imepigwa carpet la nguvu na kuta zinameremeta kama umeingia mbinguni. Nilikuwepo hapo wiki iliyopita.
HAYA, mbele yako utakaribishwa na bibi kizee mmoja wa Kihindi kama Receptionist. Ukimsalimia "habari gani" bibi huyu hajui kiswahili, anachojua ni Kiingereza cha kihindi na kihindi chenyewe.
Hivi kweli HAKUNA watanzania wanaoishi hapo Washington DC wanaoweza kufanya kazi hii mpaka bibi kizee wa Kihindi aletwe Toka India kuja kufanya kazi ya mapokezi? Au labda anafahamiana na Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania?
NADHANI HII HAIJAKAA VIZURI