GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,647
- 109,034
Saint Peter Leo kulikuwa shwari??Dodoma sijui alisali kanisa gani??
Kwani mimi nimemlenga nani zaidi yako popomaTafadhali sitaki Kimbelembele katika huu Uzi na sijauanzisha ili ama nimseme au nimlenge fulani bali nimeanzisha kwakuwa hizo tabia zote Saba tajwa hapo juu GENTAMYCINE ninazo tena kwa 100%.
Mi wangu alizungumzia sn sifa za mtu muoga. Alisema:-
1. Ukiona mtu anatisha tisha sn wenzake ujue ni muoga
2. Ukiona mtu anatembea na walinzi wengi na kulindwa sn ujue ni muoga
3. Ukiona mtu hataki kushindana na wenzake ujue ni muoga
4. Ukiona mtu hasafiri nje ya nchi ujue ni muoga
Maubiri ni nini?Duh hayo maubiri makavu