Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari zenu, niko hoi bin taaban, yaani hata nakosa nguvu kabisa matatizo yakikuandama........
Ilhali bado nikiwa namalizia majonzi ya fitna nilizofanyiwa last week, jana limetokea lingine..... jamani sio crash hapa nimekombwa kila kituu.
Nikiwa natokea kazini jana shosti yangu mmoja akanipigia simu kuwa anaumwa na amelazwa hospitali ya Madonna iliyopo Tabata.
Sasa nikajiwaza na foleni la Dar, nilipotoka job nikaweka begi langu kwenye gari, maana huwa natembea na begi badala ya pochi kwasababu huwa nafanya mazoezi na vifaa naviweka kwenye begi.
Hivyo jana sikwenda mazoezi nikaweka begi langu nyuma nikakamata njia ya jangwani nitokee kigogo kisha nipite tabata dampo kisha madona kukwepa foleni ili niwahi kumjulia hali mgonjwa na niwahi kurudi home.
Majanga yalianza hapa, baada ya kuingia ile barabara ya vumbi ya tabata dampo kukawa na foleni kubwa magari mengine yakawa yanageuza kurudi ndo nasie tunapata wasaa wa kusogea mbele.
Nilikaa pale karibu nusu saa bila kufika darajani, nikajishauri nigeuze nikapitie mabibo looh, ila nataka kugeuza ikatokea pikipiki sikuiona ikanigonga ubavuni aaaah balaaaaa.
Ndani ya dakika kumi watu walinijalia kila mtu anasema lake wakilazimisha nitoke kwnye gari sina moja wala hamsini na moja akatokea mzee mmoja akanisihi nifungue kioo, nikashuha kidogo kumsikiliza akaniambia, dada hapa ni pa hatari toka uongee na huyu aliyekugonga mmalizane uende ukiendelea kukaa hapa watakuliza daaah!!! yule mzee akaondoka, nikatoa lock niongee na yule jamaa wa pikipiki maana alikuwa hajaumia zaidi ya gari yangu kubonyea ubavuni.
Nilipotoka watu wakiwa bado wamejaa kumbe kuna mtu alifungua mlango wa nyuma na kuushikilia bila mie kujua maana watu walikuwa wamezonga wengi.
Nilipolock milango na vioo nilipandisha ule mlango wa nyuma kumbe ulikuwa umerudishwa tuu haujabana, nikasogea upande wa pili ili niongee na yule wa boda boda.
Huku wakafungua mlango wakabeba begi bila mie kujua nimeelewana nae kuwa kila mtu asepe tuu maana mie gari yangu ndo imeumia ila yeye yuko ok na kosa ni langu narudi upande wa dereva nakuta mlango wa nyuma uko loose aaahhh!!!! na hapo ndo nilipoona umuhimu wa kuweka tinted, maana kagiza ka saa moja jioni ndo kalikuwa kanaingia lakini mtua likuwa anaona kila kitu kwenye gari ndani.
Yaani kwenye begi kulikuwa na kila kitu na ndo nhsaibiwa ivooo........:crying::crying::crying:
Sjui ni nini lakini naona majanga yananiandama mnoo mbona sili cha mtu? Kila nikiwaza shuhuli ya kuanza kuprocess vitambulisho vya kazini, vya benki, vya matibabuu uuuuhhhh nimechoka sana.
Kilichonichosha zaidi niliamua kwenda polisi kuripoti kituo cha kulekule maeneo ya tabata dampo/kigogo, polisi wakasema hatuna askari wa kwenda kuangalia vijana walioiba, wakati bado niko pale akamuita askari mwingine aende na mimi kujaribu kufuatilia hao wezi maana wanasema ni vijana wa mitaa ile ile na wanafahamika.
Yule polisi aliyeambiwa aende na mimi akamwambia supervisor wake aaah huko siendi maeneo yale korofii wananchi watatuletea shida.
Nikashangaa na hapo ndo nilipowaza ndo maana watu wengine wakiwashika wezi wanapiga hadi kuwaua maan kama polisi hawatoi ushirikiano nini kifanyikee? Yaani nina huzuni hadi hasira.....
Wallah naapa nikikuta mahali mwizi kakamatwa anapigwa, mie ntachukua prize tuu kisha nafungua zipu yake na kuminya yale mayai mawili hadi aombe poo baaas!! so kuanzia sasa hv natembea na prize kwenye pochi.
Am sad sad sad........ yaani nimeibiwa kila kituuuuu... hata kwa shosti yangu sikuende tena.:crying::crying::crying: