My comfort zone came when iam satisfied with Love i have, to eat the Food i want, when i have idle Time and be free to hang around, and ofcoz huwez fanya haya kama huna hela...
Kwangu mimi ni when i have Money , Time and Energy, all in parallel
Nipo mlangoni mwa toilet hapa nakusikia unavyoimbaHahahahaaa looh...... I can emagine....
Hadi nimekuona hapo ulipo na sauti yako nimesikia.
Kama ulishabahatika kuonana au kufahamiana na The Boss mpe salamu zangu.
Is........... who... where.... what...??!
Umenikumbusha huu wimbo.....
I don't care who you are...
Where you are from...
Don't care what you do...
As long as you love me.....
Eeeh eeey eeeh as long as you love me baby.
Kasie Matata.
Thank you.What a damn comment!!!
You nailed it love.
Leo umenufadhaisha sana... siku zote nilijiamini comfort zone yako ni pale unapokuwa umejilaza kwenye kifua changu baada ya kula makange na Amarula ya kutosha.... dah!Hahahahaaa babuu kama kiendacho kwa mganga huwa kinarudi. .... basi sawaaa heheheheheheee.
Nooh.... It is as looong as I kung fu your rhomboids. .... hahahaaaa
Khyfdvjiytf nniyfrrdch.
Na hili litokee jumapili hii... katika jina la Babu!Babu Big Sam..... hehehehhehehe heheee
Sababisha basi babu jamanii looh au ndo bibi anakaba mpaka penati??!! Hahahahahahahaa
Nilisema hiviii Big Sam na Kasie Rodizo inawahusu......
Leo umenufadhaisha sana... siku zote nilijiamini comfort zone yako ni pale unapokuwa umejilaza kwenye kifua changu baada ya kula makange na Amarula ya kutosha.... dah!
Hahahahahhahahahaa *** you, not only that....
But also.... bite all the muscles. ... scrambling for Albert T.
Hao wadada hawawezi kuwa serious, mlangoni nimefikaa kwa kuvutwa na sumaku pamoja na sauti ya kumtoa nyoka pangoniHeheheheheheee unajua umenijazia PM ya wadada..... wanasema nawaibia hasbandi wao .... ati hapo mlangoni mwa toilet unafanya nini na umefikaje?
I get your voice though.... wink.