Fred Mpendazoe
Member
- Aug 21, 2016
- 33
- 504
Kasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John Pombe Magufuli inazidi kuwang'oa viongozi wachafu na wala rushwa katika Taifa letu!
Kasi hii ya awamu ya tano na inazidi kudhilishia umma wa watanzania kuwa ccm ni chama safi chenye viongozi wasafi wasiopenda rushwa hata kidogo !
Hajapita wiki moja baada ya waziri wa malisili na utalii mh Citizensfor Kigwangalla mzee field kutangaza kiama kuwa wale wote waliohusika kujimilkisha vitalu wawe viongozi wawe wamestaafu atawachukulia sheria kali .
Basi leo tumeshudia hao watu wakijondoa wenyewe kwa hiali yao! Hii ni kasi ya ajabu .Rais wetu ni mchapa kazi si mtu wa rushwa ni rais wa wanyonge anaetetea maslahi mapana ya watanzania ! Kwa kasi hiii ni lazima wezi wa mali za nchi,pembe za ndovu,faru,tembo nk ni lazma wajitoe wenyewe tu .
Nasikitshwa na kauli ya nyarandu kusema Tz inahitajika Katiba mpya nina swali kwake
-!kwani akiwa waziri hakuiona katiba mpya ina umuhimu hadi leo ndo aone ina umuhimu?
Aacha kudanganya umma aseme tu ukweli kilichomtoa ni Maliasili tu na kigwangallah hana mchezo hata kidogo atakufata huko huko .
Kuhama sio suluhisho umetuibia halafu unahama hapana! Hii ni kasi ya kubatizwa kwa moto lazima wezi wakimbie !
Nakupongeza sana Mh Rais kwa kazi nzuri unayofanya ya kuatumikia watanzania hata wanyonge! Pia nakupongeza waziri wa maliasili na utalii kwa kasi ulioanza nayo ya hatari.
CCM mpya,Tz mpya
Na Emanuel Uledi