Kasi ya CCM haizuiliki

Kasi ya CCM haizuiliki

jaba jumah

Senior Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
150
Reaction score
50
Mwendo wa kampeni hapa nchini unaendelea huku vyama viwili vikipewa upatu wa kushika dola kati ya chama tawala CCM dhidi ya CHADEMA, kwa mambo yanavyo kwenda upepo umebadilika sana na kuonesha dhairi shairi kuwa mgombea wa CCM Dr John Pombe Magufuli kukubalika zaidi na watanzania kila anapopita na kunadi sera zenye nia thubutu za kuwaletea watanzania maendeleo yaliyo kweli na ya uhakika na kwa wakati muafaka.

hii ndyo sababu kubwa inayompa Magufuli kiki ya kushika dola tofauti na mpinzani wake ambae ameonekana hana sera za kuwaletea maendeleo!

Chagua Dr John Pombe Magufuli kuwa rais wa awamu ya 5 kwa maendeleo ya haraka.
 
Ccm bring back our Twigas and Tembos,propaganda hazitasaidia.Ccm out
 
Watu kwenye kampeni za ccm tunaenda kuona fiesta ya bureeee

Hatufuati sera za ccm maana ilani aliyo itumia mkapa ndiyo aliyo itumia kikwete nasasa anaitumia magufuli be creative CCM mbele kwa mbele Eg:-escow,epa,buzwagi,meremeta,kiwira,iptl,behewa feki,urenium pale mamtumbo,mikataba zaidi ya miaka 90+ na kusafirisha wanyama yote hayo mbele kwa mbele?
 
Last edited by a moderator:
Mi sijamuelewa bado JPM, labda hadi mniandikishe tuition!
 
Usitumie nguvu kucomment..
peopleeeeeez..
 
Attachments

  • 1444361157415.jpg
    1444361157415.jpg
    39.1 KB · Views: 375
Sera ya sisiem ni "lowasa"
Sera ya lowasa ni Elimu Elimu Elimu
 
Mi sijamuelewa bado JPM, labda hadi mniandikishe tuition!

Elimu, elimu, elimu.
Kama hujamuelewa John, Edo ndo hutawamwelewa kabisa.
Na kwa Mwl Sumaye lazima upate zero.
Huwezi ambua chochote.
 
Mwendo wa kampeni hapa nchini unaendelea huku vyama viwili vikipewa upatu wa kushika dola kati ya chama tawala CCM dhidi ya CHADEMA, kwa mambo yanavyo kwenda upepo umebadilika sana na kuonesha dhairi shairi kuwa mgombea wa CCM Dr John Pombe Magufuli kukubalika zaidi na watanzania kila anapopita na kunadi sera zenye nia thubutu za kuwaletea watanzania maendeleo yaliyo kweli na ya uhakika na kwa wakati muafaka.

hii ndyo sababu kubwa inayompa Magufuli kiki ya kushika dola tofauti na mpinzani wake ambae ameonekana hana sera za kuwaletea maendeleo!

Chagua Dr John Pombe Magufuli kuwa rais wa awamu ya 5 kwa maendeleo ya haraka.

Hahahahahahahaa hohohohoboho kupata kichekesho kingine kama hiki andika neno "kichekesho" kisha tuma kwenye namba 17004
 
  • Thanks
Reactions: H20
ni mwenda wazimu na mlevi tu atakaye ipigiya kura CCM kwa muda wa miaka 54 wameshidwa wataweza miaka mitano
 
Maghufuli hata wasipompingia kura atakuwa rais wa Tanzania kwa lazima hatuwezi kumpa nchi MTU ambaye hayuko physically and mentally fit.
 
Back
Top Bottom