Kasi ya CCM haizuiliki

Kasi ya CCM haizuiliki

Mwendo wa kampeni hapa nchini unaendelea huku vyama viwili vikipewa upatu wa kushika dola kati ya chama tawala CCM dhidi ya CHADEMA, kwa mambo yanavyo kwenda upepo umebadilika sana na kuonesha dhairi shairi kuwa mgombea wa CCM Dr John Pombe Magufuli kukubalika zaidi na watanzania kila anapopita na kunadi sera zenye nia thubutu za kuwaletea watanzania maendeleo yaliyo kweli na ya uhakika na kwa wakati muafaka.

hii ndyo sababu kubwa inayompa Magufuli kiki ya kushika dola tofauti na mpinzani wake ambae ameonekana hana sera za kuwaletea maendeleo!

Chagua Dr John Pombe Magufuli kuwa rais wa awamu ya 5 kwa maendeleo ya haraka.

Gari bovu lililopotea kasi inakuwa haina maana!#HapaGizaTu
 
mi mwenyewe ccm lakini nimeshamkubali lowasa anayempinga lowasa labda ni kichaa au kahongwa pombe mmmh lowasa chaguo la wengi lowasa umeniroga jamani mpaka nimehama ccm lowasa vichaa km hawa ndo uje uwape elimu tumechoka fiesta jamani
 
Mi mwenyewe ukawa lakini nimeshamkubali magufuli na anayempinga magufuli labda ni kichaa au kahongwa pombe,mmmh magufuli chaguo la wengi,magufuli umeniroga jaman mpaka nimehama ukawa magufuli vichaa hawa ndo uje uwape elimu tumechoka na mafuriko feki jaman
 
Hahahahah Magufuli bila wasanii hasikilizwi!
 
Back
Top Bottom