ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,327
Joseph kashindye,yule aliyegombea ubunge kupitia chadema igunga katika uchaguzi mdogo ambapo dr dalaly kafumu alishinda, amebwaga manyanga. Ameachna na chadema.sababu ni ubabaishaji na ubaguzi wa chama hicho.
source: radio one magazeti 14.07.2014
hahahaha una hasira ila kama kasepa CDM kama kiti cha daladala akishuka anapanda.Kigazeti chenyewe eti Uhuru!
Kigazeti chenyewe eti Uhuru!
Habari zaidi zinasema Red Brigade wanamsaka ili wamdhuru.
Wacha wewe Matiku ni moto. Hawezi ingia CCM siasa taka.Hata mwenyekiti wa CDM kanda ya kusini Matiko Matare tuliambiwa na UHURU kwamba amebwaga manyanga CDM na kuhamia CCM!
Habari zaidi zinasema Red Brigade wanamsaka ili wamdhuru.
Unadhani tz daima linaweza kuandika hii taarifa?
Habari zaidi zinasema Red Brigade wanamsaka ili wamdhuru.
Unadhani tz daima linaweza kuandika hii taarifa?
Kigazeti chenyewe eti Uhuru!
Hivi gazeti la uhuru hua linauza copy ngapi kwa siku?
Joseph kashindye,yule aliyegombea ubunge kupitia chadema igunga katika uchaguzi mdogo ambapo dr dalaly kafumu alishinda, amebwaga manyanga. Ameachana na chadema.sababu ni ubabaishaji na ubaguzi ndani ya chama hicho.
source: radio one magazeti 14.07.2014
UHURU nalo ni gazeti