Kashindye, aliyekuwa mgombea ubunge Igunga adaiwa kuitosa CHADEMA

ifweero

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
7,957
1,327
Joseph kashindye,yule aliyegombea ubunge kupitia chadema igunga katika uchaguzi mdogo ambapo dr dalaly kafumu alishinda, amebwaga manyanga. Ameachana na chadema.sababu ni ubabaishaji na ubaguzi ndani ya chama hicho.

source: radio one magazeti 14.07.2014
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    1.1 MB · Views: 655
Joseph kashindye,yule aliyegombea ubunge kupitia chadema igunga katika uchaguzi mdogo ambapo dr dalaly kafumu alishinda, amebwaga manyanga. Ameachna na chadema.sababu ni ubabaishaji na ubaguzi wa chama hicho.

source: radio one magazeti 14.07.2014

Kigazeti chenyewe eti Uhuru!
 
Habari zaidi zinasema Red Brigade wanamsaka ili wamdhuru.

Ndio kazi yenu CCM kuangalia penye upenyo na kudhuru watu halafu mnaanza kulazimisha kuwaaminisha watu kuwa CDM ndio wahusika
 
Hata mwenyekiti wa CDM kanda ya kusini Matiko Matare tuliambiwa na UHURU kwamba amebwaga manyanga CDM na kuhamia CCM!
 
Joseph kashindye,yule aliyegombea ubunge kupitia chadema igunga katika uchaguzi mdogo ambapo dr dalaly kafumu alishinda, amebwaga manyanga. Ameachana na chadema.sababu ni ubabaishaji na ubaguzi ndani ya chama hicho.

source: radio one magazeti 14.07.2014

Kumbe chanzo chenyewe cha habari ni ifweero na Gazeti la Uhuru!
Mie napita coz hapa hakuna jipya bali mwendelezo wa propaganda za akina MSALANI tu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom